Mgomo wa Walimu leo, Mgomo wa nchi nzima kufuata on chrismas

Mgomo wa Walimu leo, Mgomo wa nchi nzima kufuata on chrismas

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
4,058
Reaction score
1,373
Walimu wa Uingereza wapo kwenye MGOMO leo hii, Maelfu ya shule kufungwa na Madarasa kubakia matupu. Madai yao ni juu ya Mishahara midogo, mafao madogo na kufanya kazi kama punda.

_70513533_teachstrikepabrum.jpg

Pamoja na umuhimu wake, kumbe kazi hii sio deal Dunia nzima. It is time now kila mtu afundishe mwanae mwenyewe. Kama ni mbwai mbwai bwana.
 
Duh. Nimeingia kwa hamasa nikijua kuwa ni Bongo.

Haa! haa! Mheshimiwa Mtoi, nimeweka hivyo ili watu wajue kumbe hata Uingereza Waalimu wanauza ubuyu Madarasani ili kujikimu kimaisha, na mtoto asie na hela anakopeshwa, akikataa anapigwa viboko. Yaani Ualimu ni Majanga tu Dunia nzima.
 
Ndugu yangu mbona umetushtua sisi wenyewe watoto wa ngumbalu! Kumbe ni majuu?!
 
waaalimu wetu ni mamburula hawana msimamo wa dhati kw amaslahi yao na kizazi kijacho wao wanaishia kuwapanish wanafunzi kwa kosa la serikali yao shame on them
 
Ndugu yangu mbona umetushtua sisi wenyewe watoto wa ngumbalu! Kumbe ni majuu?!

Pole Miwatamu, nilitaka kufikisha ujumbe kidizaini hiyo maana inauma sana kuona hii taaluma namba moja inadharauliwa sana. Kazi kubwa wafanye wao, Maisha bora na magari wayaone kwenye TV tu, tena nyumba ya Jirani. Majanga. Inauma saaaaana.
 
nashangaa hawa walimu wa hapa bongo, kugoma sijui hadi tutakapoacha kuwalipa kabisa tunajitahidi kuwanyonya ili wagome lakini bado tu wanaenda kazini.
 
Walimu wa Uingereza wapo kwenye MGOMO leo hii, Maelfu ya shule kufungwa na Madarasa kubakia matupu. Madai yao ni juu ya Mishahara midogo, mafao madogo na kufanya kazi kama punda.

_70513533_teachstrikepabrum.jpg

Pamoja na umuhimu wake, kumbe kazi hii sio deal Dunia nzima. It is time now kila mtu afundishe mwanae mwenyewe. Kama ni mbwai mbwai bwana.

Baba yako, kama unaye, angekufundisha mwenyewe ungeweza hata kupost hizi pumba JF?
 
Nikajua mambo ya mukoba nikajiuliza ujasiri wa kugoma kautoa wapi? Kumbe ni uk.
 
Back
Top Bottom