Mgomo wa walimu: TBC na jeshi la polisi siwaamini tenaa labda wewe!

Mgomo wa walimu: TBC na jeshi la polisi siwaamini tenaa labda wewe!

Mzururaji

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,558
Reaction score
1,273
Wadau naomba kuuliza hv hawa tbccm kuna ulazima wowote wa kutanganza mwenendo wa huu mgomo mi naona wameegemea upande wa kutaka kuonesha kuwa mgomo umefeli kwanza jumapili waligoma kutanganza ile kauli ya cwt kuwa mgomo upo palepale nikahisi hawatotanganza kumbe wakajipanga kuonesha mgomo umefeli kwamba walimu walio goma wameshinikizwa kwa kutishiwa maisha. walimu tusisikilize hiz propaganda za tbccm. na jesh la polisi msitake kuitumbukiza hii nchi katika machafuko ya lazima kwa kujipendekeza kwa wakubwa wenu kwa kuwakamata viongozi wetu serikal ambayo mnaipgania inatunyonya sana watanzania walimu nawatakia cku njema na mapumziko mema mgomo upo pale pale
 
mbona tumegoma? hakuna kwenda kazini n apigia wenzio simu n auwatumie sms kwamba mgomo uko palepale
 
Bora kusikiliza redio za mikoani kuliko tibishi ccm
 
Nashukuru kwa kuwa uongo wanaoendea kuufanya TBC umesababisha Baba yangu aihame CCM, TBC imechukua nafasi ya Makamba enzi akiwa katibu mkuu. FULL MAAMKO YAKO YA KIPUUZI
 
naunga mkono hoja?nasikitika sana mwalim wangu aliyenitoa ujinga mpaka nikamaliza elim ya juu nimeenda kijijini majuz yani huwezi amini kua nimfanya kazi wa serikali kwa maisha wanayoish.jamani walim wanamaisha magumu ningependa kushaur kua wanafunz nao waandamane kuishinikiza serikali kuwasikiliza walimu wao.ikishindikana wazazi tunaingia barabarani
 
  • Thanks
Reactions: sha
wadau naomba kuuliza hv hawa tbccm kuna ulazima wowote wa kutanganza mwenendo wa huu mgomo mi naona wameegemea upande wa kutaka kuonesha kuwa mgomo umefeli kwanza jumapili waligoma kutanganza ile kauli ya cwt kuwa mgomo upo palepale nikahisi hawatotanganza kumbe wakajipanga kuonesha mgomo umefeli kwamba walimu walio goma wameshinikizwa kwa kutishiwa maisha. Walimu tusisikilize hiz propaganda za tbccm. Na jesh la polisi msitake kuitumbukiza hii nchi katika machafuko ya lazima kwa kujipendekeza kwa wakubwa wenu kwa kuwakamata viongozi wetu serikal ambayo mnaipgania inatunyonya sana watanzania walimu nawatakia cku njema na mapumziko mema mgomo upo pale pale
ndugu inaelekea haujua jinsi vyombo vya habari vinavyofanya kazi.kwa kifupi kila chombo cha habari kina house style yake,kila mwandishi anayefanya kazi kwenye chombo husika anatakiwa kufuata hiyo house style............vyombo vya habari vyote vya serikali lengo lake ni kuhakikisha maslahi ya serikali yanadumishwa,vyombo vya habari vya vyama lengo lake ni kudumisha maslahi ya chama husika,hali kadhalika hata vyombo binafsi huwa vinakuwa na maslahi yake..........huwezi kutegemea kwa mfano, gazeti la uhuru ambalo ni la chama cha mapinduzi liandike mazuri ya chadema,gazeti la chadema liandike mazuri ya ccm,au labda gazeti la simba liisifie yanga,au umekwisa sikia magazeti na vyombo vya habari vya ipp vikimponda mmiliki wake.hebu angalia habari zinazomhusu mmiliki wa ipp zinavyorefushwa zinapokuwa zinatangazwa na vyombo vyao..........so tbc wako sawa kabisa kutokushabikia mgomo kwa sababu ni chombo cha serikali..jambo la msingi ni wewe msomaji kuwa makini na chombo unachokisiliza/soma na kuhusisha na jambo linalozungumzwa,na hii iko duniani kote.suala la kutokuwa bias huwa linazungumzwa tu,lakinin kimsingi hakuna mtu duniani ambaye hayuko biased,tofauti ni degree of biasness............

 
Back
Top Bottom