Mzururaji
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,558
- 1,273
Wadau naomba kuuliza hv hawa tbccm kuna ulazima wowote wa kutanganza mwenendo wa huu mgomo mi naona wameegemea upande wa kutaka kuonesha kuwa mgomo umefeli kwanza jumapili waligoma kutanganza ile kauli ya cwt kuwa mgomo upo palepale nikahisi hawatotanganza kumbe wakajipanga kuonesha mgomo umefeli kwamba walimu walio goma wameshinikizwa kwa kutishiwa maisha. walimu tusisikilize hiz propaganda za tbccm. na jesh la polisi msitake kuitumbukiza hii nchi katika machafuko ya lazima kwa kujipendekeza kwa wakubwa wenu kwa kuwakamata viongozi wetu serikal ambayo mnaipgania inatunyonya sana watanzania walimu nawatakia cku njema na mapumziko mema mgomo upo pale pale