Mzalendo JR
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,193
- 515
- Thread starter
-
- #81
Mahenge hali ni mbaya, shule zote zamsingi za mjini walimu wamegoma. mkuu wa wilaya amemuagiza mkurugenzi wa halmashauri kutoa tangazo redio ulanga kupinga tangazo la katibu cwt (w) la kutaka mgomo uendelee na kusisitiza kwamba mgomo ni halali. Hivyo mkurugenzi ametangaza kupitia redio ulanga kwamba mgomo si halali kwa vile eti kura za kuunga mkono zilikuwa ni za siri.LAKINI TUNASEMA KWAMBA ALUTA KONTINUA!!!. MKUBWA HATISHIWI NYAU
hawakawii kusema mgomo huu umechochewa na chadema
usitumie masabuli fanya utafit utagundua shule za binafs wanalipa vizur zen unataka walimu tukandamizwe kisa mwanao yupo private heb tumia japo akil kidogo
Anaziona ila hao TISS watamwambia hao watoto ilikuwa ujio wa Mwenge na wanaupenda sanaLiwalo na Liwe, hizi Picha huziona? ama mpaka uambiwe na TISS?
Hawakutishika na wagonjwa ambao wanakata roho hospt mpaka madokta wenyewe wamesalim amri,iwe wanafunzi ambao wanaandamana kwa furaha kabisa na hata wengine hawajui nini kinawafanya waandamane,tatizo la kutanguliza siasa kwenye kila kitu ndio matokeo yake hayo'[/QUOTE] Kumbe suala ni kutishika na si kusolve issues Maana ka suala lingekuwa ni kusolve issues hii migomo isiyo na tija isingekuwepo. Wameona hawa watanzania tuwafanyeje ili hii amani wanayojidai nayo ivurugike, wakaona kwenye vita hapana hawatapa sapoti, ngoja tushawishi kwenye migomo ili ionekane kuwa nchi haitawaliki na ndipo tutakapo sapoti. kwa kuwa wengi wetu ni bendera fuata upepo ndio maana unaona kila siku migomo isiyo na tija. kwa kufikiri kuwa mnaikomoa serikali. acha tu tuitwe vichwa vya mwenda wazimu kwa mtaji huu.QUOTE=POMPO;4347044]Liwalo na Liwe, hizi Picha huziona? ama mpaka uambiwe na TISS?