Kitimbwisi
Senior Member
- Feb 5, 2013
- 155
- 72
wewe umesikia na nani?kama kutakuwa na mgomo au unasoma massage za kutunga!wallimu watu safi hatuwez kugoma kwa sababu ya kizembe post lazima zitatoka 2 kila mwalimu atapata nafasi achana na kusikiliza hizo sms wanazotunga kuchafua walimu