Mgomo wa walimu wapya lini? Wanaosubiri ajira.

Mgomo wa walimu wapya lini? Wanaosubiri ajira.

Kitimbwisi

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
155
Reaction score
72
Hv wale walimu waliodai kuwa wataandamana kwa niaba ya wanaosubiri ajira wote tanzania, vp? Mbona cpat updates!
 
wewe umesikia na nani?kama kutakuwa na mgomo au unasoma massage za kutunga!wallimu watu safi hatuwez kugoma kwa sababu ya kizembe post lazima zitatoka 2 kila mwalimu atapata nafasi achana na kusikiliza hizo sms wanazotunga kuchafua walimu
 
mimi natambua mwalimu ni m2 anaejitambua dats y nikawa najiuliza huu mgomo wa kushinikiza kuajiriwa mbona hauna mantiki, maana serikali tayari ilishaahidi kumwaga ajira! Kila la kheri walimu.
 
Sifa kuu ya serikali ye2 ni kuwa huwa haiendi bila maandamano na migomo.Hivyo wameshindwa kutoa post za walimu kwa vile wanasubiri walimu waandamane nao wanagwaya
 
Mgomo wa kutokula mpaka watakapoajiriwa unaanza rasmi kesho....
 
Back
Top Bottom