Mgomo wa wanafunzi UD

Mgomo wa wanafunzi UD

Lutala

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
848
Reaction score
104
Great thinkers, kuna yeyote yule aliyepata taarifa ya kikao cha Waziri wa Elimu na Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam?

Kuna lolote jipya lilofikiwa?

Natanguliza shukrani zangu.

Mzazi
 
Umepotea njia mkuu. Rudi nyuma, kata kushoto, kama barabara ya sita hivi ndo uingilie. Ahsante.
 
Umepotea njia mkuu. Rudi nyuma, kata kushoto, kama barabara ya sita hivi ndo uingilie. Ahsante.

Hahahaha,umenifurahisha kweli!
Mkuu nenda kwenye jukwaa la siasa utajua kila kitu
 
kwani kati yao kulikuwa na mahusiano, mapenzi au urafiki?
 
Ingawa mgomo wa wanafunzi si swala la mapenzi lakini je ni la kisiasa ?

aende facebook ....miji2 mingine bana udsm udsm sasa hiyo udsm inahuu nini huku?! huku malovedove na mahusiano ndio mpango mzima....
 
Banae sie tunanyege watuletea siasa..!
 
Umepotea njia mkuu. Rudi nyuma, kata kushoto, kama barabara ya sita hivi ndo uingilie. Ahsante.

Ha ha ha ha haaaa atakua yuko tungi mbayaaaa huyo ndo chwechwe bwana
 
Waambie waanze kuja katikati ya mji tutawapokea tushachoka ila hapa kama sio pahala pake mzazi
 
Back
Top Bottom