Mgomo wa wanafunzi UDOM waingia siku ya pili



Uzuri wa hawa vijana wengi wametoka JKT,wanadhani maana ya mafunzo hayo ni kwenda kuchezea disco?.
wawe wakakamavu,kupigwa bila kosa/kukimbia wakati uwezo wa kujitetea unao ni uwendawazimu?.
watu 200 kwa wanafunzi 2000 huwezi nishawishi hata kama wana virungu.
MKIWA NA MOYO KAMA YA WAARABU HESHIMA ITAPATIKANA.

ACHENI UOGA
 
Kumbe UDOM ina wanafunzi wachache hivyo.....
Au ibadilishwe kichwa cha habari na kusema Baadhi ya Wanafunzi wa UDOM wamegoma kuingia madarasani kisa Boom
 
Eti watu wamesain muda mrefu then kutia pesa bado,kanuni zinataka ck 3 tu baada ya kusain pesa iingizwe,
 
Kumbe UDOM ina wanafunzi wachache hivyo.....
Au ibadilishwe kichwa cha habari na kusema Baadhi ya Wanafunzi wa UDOM wamegoma kuingia madarasani kisa Boom

Nyie mnaongea kitu msichokijua, kwanza mgomo unaoendelea UDOM unahusisha Kitivo cha watu wanaochukua fani ya ualimu tu, na siyo UDOM nzima, lakin pia hawa wanaochukua kozi za ualimu idadi yao inafikia zaidi ya elfu kumi. Tangu Juzi walipoanza kuingia barabaran shughuli za kiuchumi zimeyumba mkoan Dodoma kwani magari pamoja na pikipiki zilikuwa haziruhusiwi kupandisha watu maeneo yote ya chuo na maeneo yanayozunguka chuo labda km huipendi gari au pikipiki yako. J3 mgomo huu unatarajiwa kuendelea kwa siku ya 3 ambapo malengo ni kufika viunga vyote vya Mji wa Dodoma. kuna uwezekano mgomo huu ukasambaa chuo kizima ambapo hali utakuwa mbaya zaidi
 
Mtarban
Je unadhani kwenye hizo picha hao watu wanafika 10000?
 
Last edited by a moderator:
Mtarban
Je unadhani kwenye hizo picha hao watu wanafika 10000?

sina cha kukiambia labda kama ungeshuhudia mwenyewe, hivyo tuishie hapa sion umhim wa kubishana na we kwa vitu visivyo vya msing
 
Last edited by a moderator:
yule gamba raisi wa coed mumenifurahisha mulivomfanya mbwa yule anatumika kunyanyasa wanafunz ---- yule
 
Tanzania nchi yangu. jamani wahusika wapeni pesa wanafunzi hao. Asikwambie mtu njaa inatisha na haina adabu
 
jtatu kipunga kinatema washasaini sasa ndo ndg zetu wajifunze kupitia haya na ifike sehemu waseme ccm wanazengua sana
 
mgomo ushaisha na tulisaini pia pesa muda wowote itaingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…