KUCHITIMBO1970
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 482
- 221
Hili suala la mgomo na ukamataji huwa silielewi.
Maana hakuna uhalisia zaidi ya mikwara.
Kimantiki Wananfunzi wote ni sehemu ya Waandamanaji na wakiamua wote waswekwe rumande/wakamatwa au wajisamilishe Polisi kwa hiari au lazima maana wenzao wako ndani-mwisho wasiku Serikali ndiyo yenye kuumbuka.
Hakuna mahali Umma umepata kushindwa mbele ya Serikali toka enzi iko hivyo.
Hakikisheni wenzenu wanaachiwa bila masharti na kama wanataka kuwapeleka mahabusu na kuwafungulia mashitaka basi wote muwewashirika.
Uzuri wa hawa vijana wengi wametoka JKT,wanadhani maana ya mafunzo hayo ni kwenda kuchezea disco?.
wawe wakakamavu,kupigwa bila kosa/kukimbia wakati uwezo wa kujitetea unao ni uwendawazimu?.
watu 200 kwa wanafunzi 2000 huwezi nishawishi hata kama wana virungu.
MKIWA NA MOYO KAMA YA WAARABU HESHIMA ITAPATIKANA.
ACHENI UOGA