Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 245
Mama naomba uheshimu uwepo wa hii habari.unajua nimeweka hii ili mjue sasa unataka kujua zaid ni nin?mengne yatafuata.matusi hua hayana nafasi humu.Sasa hapo tutaelewa nini? kama ujapata habari kamili kaa kimya sio kutupa uharo hapa...........
Mama naomba uheshimu uwepo wa hii habari.unajua nimeweka hii ili mjue sasa unataka kujua zaid ni nin?mengne yatafuata.matusi hua hayana nafasi humu.
we mbuz kweli,kwa hyo field sio muhimTatizo ni kusoma UNGWINI ndio maana mnakua wapuuzi, hamna ushirikiano na migomo yenu ni yakijinga! Fuatilieni migomo ya COET UDSM ikiwa kuna kitu muhimu kugomewa watu wanajipanga na kufanya kweli! Nimeamini UDOM ni chuo cha kata na wamejaa vilaza . . .
Hata ukikataa sote tumesoma tunajua hulka ya wanachuo, na baadh ya wanachuo tunawafahamu,hapa hawa vjana wanachotaka ni pesa ya field..field kufanya si tatizo,tatizo ni pesa..wameishiwa boom tu hao.[/QUOTE
I think you have a big slow thinker, kama unampa mtu degree ya kitini unategemea nn kama sio kuongeza idadi ya wasomi hewa? waache wadai haki yao yamsingi, kwanini mtu apoteze miaka mitatu asifanye mazoezi ya vitendo? tutajuaje kama huyo mtu ameelewa? au unawatakia nn hawa watanzania wenzetu?????????