Mgomo

Mgomo

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,399
Reaction score
3,666
Wachezaji wa Simba wagoma kuvaa medali za ushindi wa pili Ligi Kuu Tanzania kwa madai kuwa bado rufaa yao ya Fifa haijatolewa majibu.
 
UFUNGAJI BORA: Simon Msuva ashinda tuzo ya ufungaji bora Ligi Kuu Bara akiwa na mabao 14, akifuatiwa na Abdulrahman Mussa wa Ruvu Shooting aliyefunga mabao 13.
 
UFUNGAJI BORA: Simon Msuva ashinda tuzo ya ufungaji bora Ligi Kuu Bara akiwa na mabao 14, akifuatiwa na Abdulrahman Mussa wa Ruvu Shooting aliyefunga mabao 13.
Una hakika?
 
Back
Top Bottom