Mgongano: Serikali Vs. Mwanahalisi - Mipaka ya Maoni?


Hadi ref numbers zimewekwa hapa bado huamini tu? Mkuu hapa ulitaka upewe nini zaidi?
 
Hii habari vipi? Naona iko sawa na ya Kubenea, je nao wameandikiwa barua? au Mkuchika hasomi magazeti haya?


TheCitizen Newspaper
 
More dataz ni kwamba:-

Kuna mpango uliokuwa umepangwa na mafisadi kupitia kwa Makamba wa kulifungia gazeti hili anyaways, Rostam alimjaribu kumpa rushwa nzito Kubenea, ikiwa ni hela pamoja gari jipya SUV ili aaache kuwaandika kwenye magazeti yake, lakini Saidi akakataa kata kata kuwa hawezi kulifanyia hayo taifa lake,

Kwa hiyo the next thing, mafisadi wakaamua kujenga hoja ya kwamba Kubenea ataharibu nafasi ya CCM kushinda Tarime, kwa hiyo dawa ni kutafuta sababu na kumfungia mpaka uchaguzi uishe, na more dataz ni kwamba originally Makamba alipewa nafasi hii ya ukatibu na Lowassa, akwia Waziri Mkuu, kwa hiyo uaminifu wake wote ni kwa Lowassa kwa hiyo alipopewa hii kazi ya kulifungia gazeti, akam-contact Mkuchika naibu wake huko CCM, ili ijengwe hii hoja ijengwe kupitia serikalini ambako Mkuchika ni waziri wa habari.

Hivi karibuni kwenye kikao kimoja cha mafisadi, Karamagi na Subashi, walisikiak wakilalamika sana kuwa kundi hilo linapoteza hela nyingi sana bila strong results, na hasa kwenye kesi ya Nape, ambayo wametumia hela nyingi sana lakini bado Nape is a hero kwenye the society, sasa walikuwa wana-question kama ni worthy kuendelea na hizo juhudi ambazo waliziita ni mufilisi na kwamba wao ndio kwanza wanazidi kuchafuka mbele ya macho ya jamii.

Kama kawaida tunaendeelea ku-monitor more dataz na tutaziweka hapa hapa.
 

Kwa Tarime nafikiri mkuu wananchi wamechoka na CCM kwa mda mrefu wala wasituletee sababu zingine.
 
Kubenea endelea na moyo huo huo!usibabaishwe na vijisenti vya mafisadi!Usiwe kama Raisi wetu ambae kakosa mwelekeo kwa kumixiwa na mafisadi
 

Mkuu asante sana kwa hii nyeti...safari ni ndefu sana Mungu atujalie tufike tuendako na taifa letu Tanganyika..
 

Hata kama barua ziliandikwa jana au juzi na serikali, Mwanahalisi wamepata barua ya kwanza leo asubuhi, na kwa sababu Mhariiri mkurugenzi amesafiri, ndio imebidi Kubenea aijibu, baada ya kuipata tu kuwa anakwenda mahakamani leo hana nafasi ya kujibu apewe nafasi mpaka Jumatatu kujibu, lakini serikali ikamletea nyingine baada ya masaa machache kumtaka ajibu by saa tisa na nusu mchana, he did.

Kama unaamini with all your heart kuwa nimetengenza hizi dataz then hukuwa basi na sababu ya kuingia kwa jina moja unaunga mkono dataz halafu wka jina lingine unakaataa, ndio maana nilishasema siku nyingi kuwa nilishakudharau siku nyingi sana kua ni lazima una kichaa cha mbwa bro, na watu wengi sana hapa JF walishaku-examine tabia zako hapa na kukubaliana na mimi, maana no way binadam mwenye akili timamu anaweza ku-behave kama wewe, no way!

Halafu huwa ninasikitiska sana ninapokumbuka huko nyuma kwamba kuna wakati mmoja kwenye maisha yangu niliwahi hata kushirikiana na mtu kama wewe, hilo huwa linanila sana bro sio siri, kwamba how niliweza kushirikiana na mtu low kama wewe,

Anyways, tunaendeelea ku-monitor situation na tutaleta more dataz hutaki ni kupasuka tu bro maana tunazidi kuzileta.
 
Originally Posted by First Lady
Kubenea endelea na moyo huo huo!usibabaishwe na vijisenti vya mafisadi!Usiwe kama Raisi wetu ambae kakosa mwelekeo kwa kumixiwa na mafisadi

MMJ: yeah right...

Kumbe na wewe umemshitukia? Saafi sana nilifikri nipo peke yangu tu!
 

Mkuu umefikia wapi na uchunguzi wako wa Dr Masau na heart institute, wadau tunakusubiri hapa...
 
Mkuu umefikia wapi na uchunguzi wako wa Dr Masau na heart institute, wadau tunakusubiri hapa...

Mkuu wangu Ushi Wa Rombo,

Heshima mbele sana, msimpe nafasi huyu jamaa akaharibu flaw ya hii habari maana bado, tunaendelea kuzi-monitor hizi habri muhimu sana maana some how somewhere ninaamini kwamba jipu linataka kupasuka huko ndani ya CCM.

Sasa msimpe nafasi huyu jamaa kuubadili huu mjadala kuwa yeye kama anavyotaka sasa badala ya taifa letu, mind you huyu jamaa wala sio raia wa Tanzania kama mimi na wewe, ndio maana hulilia sana dual-citizen ipitishwe, lakini tulishawafahamisha wabunge wengi kwua wakipitisha hiyo basi Tanzania tutegemee watu wengi kama huyu bwana kuja kutuchafulia amani ya taifa letu.
 
Cha ajabu ni kuwa issue ya mwanahalisi na kubenea imekuwa priority ya serikali na wala sio umeme au mambo mengine basi kama wanaweza hivi wangeshikia bango ufisadi basi wawaandikie mafisadi basi barua wajieleze kwa nini wasichukuliwe hatua za kisheria, kweli maji hayapandi mlima............
 

Kubenea amepata barua ya kwanza ya serikali leo asubuhi akiwa anajitayarisha kwenda mahakamani, amejibu na kujibiwa zote leo leo, MMJ ataongea naye leo sasa wewe ni kump haya maswali yako ili Kubenea akusaidie atakapojibu, kuna watu mmezoea aibu tu kwenye maisha eti nianweza kutengeneza hizi dataz, ni lazima binadam uwe insane kuweza kufikiri that level! Bwa! ha! ha! ha! ha!
 
Tutamsikiliza Kubenea akizungumza na tutamhoji mambo hayo within the hour exclusive at KLHN
 
..kuna uwezekano mkubwa hawa jamaa watafungiwa..

lakini my take ni kuwa ..muungwana badala ya kumuona kubenea adui ..ingebidi amshukuru kwa kumgutua usingizini kuhusu mpango wa kum MBEKILIZE...inawezekana kabisa kuwa yule zeezeta wake rashid..hakuwa na hizi taarifa kwa umakini kama kubenea.....
 
Tutamsikiliza Kubenea akizungumza na tutamhoji mambo hayo within the hour exclusive at KLHN

Mkuu please usisahau kuuliza haya maswali ya kitoto ya huyu jamaa, please!
 
lakini my take ni kuwa ..muungwana badala ya kumuona kubenea adui ..ingebidi amshukuru kwa kumgutua usingizini kuhusu mpango wa kum MBEKILIZE...inawezekana kabisa kuwa yule zeezeta wake rashid..hakuwa na hizi taarifa kwa umakini kama kubenea.....

Mkuu heshima mbele sana, Muungwana hana tatizo na Kubenea, hapa wenye tatizo ni mafisadi wakimtumia Makamba, ambaye ni bosi wa Mkuchika kule CCM na pia ni waziri wa habari,

Ninaamini kuwa muungwana ataingilia kati na kujiokoa na aibu, maana kama ni Tarime nasikia kua uwezekano ni mdogo sana kwa CCM, tena nimepata dataz sasa hivi wkamba CUF wameungana na Chadema huko eti ni kweli hizi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…