Mgongano: Serikali Vs. Mwanahalisi - Mipaka ya Maoni?

Mkuu TZnjema,

Between wewe na Kubenea, ninamuamini Kubenea kwa 100%, na hizi notes za mkutano wa Morogoro, ambazo hata Kubenea hana lakini tutampa, hazikuandikwa na Kubenea,

Ninaliyoyasema ni maneno yaliyojibiwa na Kubenea, kwenye barua aliyoijibu serikali kama alivyoulizwa kueleza ni kwa nini anasema mtoto wa rais anatumwia, na Kubenea sio wa wa kwanza kuandika habari hii, imetolewa toka last weeek na nipashe, sasa mbona hukuwajibu wao kuwa ni waongo?

Kama una tatizo lako lingine na Kubenea, uliweke hapa lakini usichanganye mambo mkuu, wewe unajua kua hivi majuzi at one point Lowassa na Ridhiwani walikuwa pamoja US walikuwa wanafanya nini? Kwa maneno yako ninakuelewa wazi kuwa una something to do na huyo Beno au Lowassa, lakini sisi tumeamua kulikomboa taifa letu hatuogopi mtu wala maneno makali ambayo ni hewa tupu!

Punguza jazba bro! Kubali ukweli kuwa haya either huyajui au unataka kudanganya umma hapa JF kuwa-cover mafisadi, hii habari unayoililia iliandikwa Nipashe last week, Kubenea ame-etxend tu!
 
Mkuu niweke sawa hapa ni nini hasa kinachosemwa, maana kama ni ishu ya Kubenea toka amewajibu saa tisa mchana serikali haijajibu bado, nafikiri ni lazima wakam-consult Muungwana kwanza,

Je ndio swali lenyewe au?

Heshima yako Mkuu,

Swalilangu lilikuwa serikali ilichukua hatua gani kwa issue ya Kubenea kumwagiwa tindikali na matokeo yake yalikuwa yapi? Hilo tu Mkuu.
 
Kesi iko mahakamani ndio hiyo aliyokua akiwahi kwenda huko leo asubuhi, haijaisha bado,

Mkuu MMJ, vipi nashindwa kujua upo wapi na interview kule kwako siipati?
 
Now the JF is back.......mwaka huu mafisadi watabanwa mbavu kila kona.Namuona Makamba anafatilia thread hii......
 
Kesi iko mahakamani ndio hiyo aliyokua akiwahi kwenda huko leo asubuhi, haijaisha bado,

Mkuu MMJ, vipi nashindwa kujua upo wapi na interview kule kwako siipati?

Hii KLHnews naona inagoma media player yake labda bado anaunganisha mambo, angetupasha habari basi tujue kama keshaanza au bado.
 
Hii KLHnews naona inagoma media player yake labda bado anaunganisha mambo, angetupasha habari basi tujue kama keshaanza au bado.

Mbona keshaanza yupo live na kubenea!
 
Wakuu wengine please msaaada hapo kuna mnaompata MMJ huko tupeni njia basi!

Nendeni kwenye website yake ya KLH news then upande wa kulia chini kuna mahali pameandikwa listen live!unaclick kwenye kati ya real player,window player n.K
 
Damn! we have freedom of expretion but we dont have freedom after expretion......

Viva Kubenea......hakuna uchochezi hapo serikali wameshikwa pabaya
 
Mkuu FM ES na wengineo, ingia kwa hii web KLH News International - Home, then nenda chini kulia utaona "Piga Kura", chini yake utaona "LISTEN LIVE", jaribu players zote manake computer yako yaweza ikawa hainaprogram mojawapo.
 
Mkjj ahsante kwa mahojiano,yaani hapo hakuna ubishi inaonekana dhahiri kuwa wezi wa serikali wanatapa tapa hawana pa kukimbilia sasa wanaanza kuzuia uhuru wa vyombo vya habari.This is a shame.
 
sorry.. sijui ilikuwa inasikikaje; I had to try new program... Natumaini mtakuwa mmesikiliza waliyoyakosa mahojiiano hayo nitayarusha tena kesho ili uweze kuyasikia katika njia mbalimbali kupitia KLHN..na hapa JF...
 
Mkjj,

Hapa kwangu nimejaribu zote media player, ipod, real player high na low bandwidth bila matatizo, may be utuwekee summary tu sasa mkuu.
 
Nimemsikia Salva hivi punde akilaani taarifa ya Kubenea na kusema kuwa ina lengo la kuleta uchochezzi. Kama kawaida, amemsifia sana Kikwete na kusema kuwa hakuna mtu atakuwa na nia ya kumwondoa rais ambaye amefanya kazi nzuri kama JK!!!
 
HIYO Ndio kazi aliyopewa hawezi kusema kinyume na hivyo

kubenea tuko nawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…