Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
😆😅😀😄😃😁 Act takataka mavi kabisaKatiba inawaruhusu kulinda kura, walichagua kulinda kura...wanaisumbua mahakama tu
Kisha wanasema nchi moja.kama wanasheria hao wanatokea bongo bara ,basi na asilkmia mia hawaijui katiba ya zanzibar amini msiamini kwani naowajua wakiulizwa swali kwann zanzibar wanakatiba yao majibu hukosa
But you, Tate Mkuu, are good for something!! In fact, you're very good.ACT Wazalendo, you are good for nothing.
Ikiw a ni hivyo nanyi si mlipewa nafasi kushiriki kwenye uchaguzi mukasusia halafu mukaandamana? Yanini kuwasumbua ACT Wazalendo? Oh Mdanganyika!!Upuuzi mtupu. ACT si mlipewa mpaka magari ya kupigia misele kuhalalisha ushetani? Ya nini kuwasumbua waliokuwa wamewaajiri?
Tatizo hapa wanasheria bara ni wanaccm tupu hawana uelewa wa mamboHaya matatizo aliyatengeneza J.Kikwete na Aman Karume 2010
Mawakili wa ACT Wazalendo wapo sahihi kwa kesi kusikilizwa Zanzibar kwa shauri la Wabunge wa Muungano
Katiba ya Zanzibar (1984) ina ukuu wa kimamlaka dhidi ya ile ya JMT(1977). Sheria zinazotungwa na Bunge la JMT lazima ziidhinishwe na Baraza la Wawakilishi kabla ya kutumika Zanzibar kwa mujibu wa Katiba ya Zbar. Maana yake ni kwamba Katiba ya SMZ ina ukuu dhidi ya ile ya JMT.
Marekebisho ya Katiba ya Zanzibar 2010 ndiyo iliyonyang'anya Mahakama kuu ya JMT baadhi ya mamlaka. Kuna mashauri hayawezi kuletwa JMT. Ni yale yale ya Amir Jeshi Mkuu wa JMT na Amir Jeshi Mkuu wa SMZ. Yaani tuna Maamir Jeshi wakuu 2 katika Nchi moja
Mkanganyiko ni pale shauri hilo litamalizwa iwe Mahakama kuu au Mahakama kuu Zanzibar.
Wabunge wa Zanzibar wanapovuka Bahari, gharama zao ni za JMT a.k.a Tanganyika hata kama shauri lao limemalizwa Kizanzibar. SMZ haihusiki na mzigo wa gharama
Ni vurugu tupu! Tanganyika , halafu kama Wazanzibar wakitaka kuwe na serikali ya Muungano! ndogo.
Ni kama watataka kwasababu Watanganyika hawana cha kupoteza
JokaKuu
Wanachobishania ni utangazaji wa matokeo baada ya kulinda kura.Hawa jamaa si ndo walisema hawasusi, watalinda kura kwenye masanduku. Sasa wanabishania nini mahakamani?
Wanachobishania ni utangazaji wa matokeo baada ya kulinda kura.
Haswa. Waambie nduguzo huko.Alishawaambia Nepi, kuna kuhesabu na kutangaza. 😁
Hao ndio waliofungua kesi?Haswa. Waambie nduguzo huko.
Haswa. Waambie nduguzo huko.