Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajf,nasumbuliwa na vitu hivyo, mwenye uzoefu wa matatizo hayo au kujua chanzo cha matatizo kama hayo aje hapa.Mbarikiwe sana.
toa maelezo sahhi na ya kujitosheleza. vinakutesa kivipi?.ukiviona unahemuka au?
vuta subira watakuja wadau kukushauri, pole sana!