basi pole ngoja wataalamu waje ila si uende hosptal jamani?Hapana
Mapenzi nilianza kufanya baada ya 40 jioni....ila swala la kufanya kazi nilianza baada ya 40 pia nilikua sina msaidizi baada ya 40 waliondoka.Wengine wanasema ukianza mapenzi mapema baada ya kajifungua inaweza kuwa chanzo cha mgongo kuuma! Nikisema mapema namaanisha ndani ya mwezi mmoja! Wengine husema ukianza kufanya kazi mapema baada ya kajifungua pia husababisha maumivu hayo! Yaani hata wiki haiishi umeanza kufua, kufagia, kudeki nk.
Je haya yote hukufanya? Kama hukufanya au hata kama ulifanya muone daktari kwa msaada wa kitabibu. Unaweza kuta ni tatizo la uti wa mgongo
Sent from Moto G
Shemeji pole sana kwa maumivu.Jaribu yafuatayoza leo.
Ni miaka mitano (5) sasa mgongo unaniuma sana tena mno. Wengi waliniambia kwa kua umetoka kujifungua, na nilijifungua kwa njia ya kawaida. kuna miaka mi2 nyuma uliacha sasaiv umeludia tena wengi walisema ni godoro, kuna siku nilienda kwa wifi yangu nikakaa siku4 nikasema ngoja nione kama ni godoro ila hali ikawa ni vilevile.
Je, dawa nini nikandwe tena na maji ya moto? Kuna mama mtu mzima aliniambia ata panadol nisiwe nameza wenyew utatulia ila alinishauli niwe naoga maji ya vuguvugu mda wowote.
NB: Nina mtoto mmoja tu.
Pole Dada, kwa ratiba hiyo naona ni matatizo tu ya mgongo.. Waone madaktari kwa ushauri na matibabu.Mapenzi nilianza kufanya baada ya 40 jioni....ila swala la kufanya kazi nilianza baada ya 40 pia nilikua sina msaidizi baada ya 40 waliondoka.