Mgongolwa: Yanga itanufaika kwa kupewa alama 3 na fidia, sakata la Simba kugomea dabi ya Kariakoo

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Kufuatia sakata la Simba kugomea mechi ya Watani wa Jadi, Machi 8 Mwanasheria Alex Mgongolwa amesema; "Kikanuni Yanga itaweza kunufaika kwa kupewa alama tatu pamoja na kukabidhiwa fidia baada ya kupeleka madai kutokana na tendo lilofanyika lilikuwa ni kinyume na kisheria"

Soma, Pia
 
Kama hakuna diasa humo ndani.....kuomba kura za wana 5imba kwa mama ....
 
Kufuatia sakata la Simba kugomea mechi ya Watani wa Jadi, Machi 8 Mwanasheria Alex Mgongolwa amesema; "Kikanuni Yanga itaweza kunufaika kwa kupewa alama tatu pamoja na kukabidhiwa fidia baada ya kupeleka madai kutokana na tendo lilofanyika lilikuwa ni kinyume na kisheria"

Ninashauri Simba wajiondoe Ligi kuu,ili Yanga,iendelee bila upinzani.
 
Faida ya simba na yanga ni nini kwa watazamaji na wapenzi wao?
 
Watu wa Yanga wanakwama wapi? Kila siku Yanga wanapiga za uso linapokuja suala la kanuni na Sheria. Mechi ambayo imeahirishwa unapewaje point 3?

Kesho Ali kamwe atakuwa na kesi pale TFF ataenda na mwanasheria kama huyu, kwanini usifungiwe, unakuwa na kesi CAS unaenda na huyu jamaa kwanini usile za uso.
 
Hakuna mwanasheria hapo kama anashindwa kuelewa hata vitu vidogo kama hivi.
 
Kufuatia sakata la Simba kugomea mechi ya Watani wa Jadi, Machi 8 Mwanasheria Alex Mgongolwa amesema; "Kikanuni Yanga itaweza kunufaika kwa kupewa alama tatu pamoja na kukabidhiwa fidia baada ya kupeleka madai kutokana na tendo lilofanyika lilikuwa ni kinyume na kisheria"

Soma, Pia
Huyu akiwa wakili wako jiandae tu kwenda lupango.
 
Simba bhana 😀😀😀😀.. kabla ya tamko la TFF mlisema hampeleki timu uwanjani sababu kanuni hazijafuatwa, baada ya tamko sababu imebadilika hamjapeleka timu sababu TFF imesema hakuna mechi.

Mshasahau sababu yenu ya mwanzo, mshasahau tamko la kutocheza mechi mlilitoa kabla ya maamuzi ya TFF.

Simba hamjapeleka timu uwanjani kwa sababu mnaogopa kucheza na yanga. Hizi zingine ni blah blah tu
 
Mkuu acha kuangaika na MATAMKO ya timu
Kwani Simba ikitamka imemsajili Messi ndio itakua kweli?

Una akili timamu na unajua kabisa Bodi imehairishi game lakini bado unakomaa na matamko😂

Humo hamna wakili aisee

Ni wapi Simba ilipo gomea kucheza game?
Barua ya bodi inajieleza mchezo haupo unapeleka timu uwanjani ya nini?
 
Mkuu acha kuangaika na MATAMKO ya timu
Kwani Simba ikitamka imemsajili Messi ndio itakua kweli?

Una akili timamu na unajua kabisa Bodi imehairishi game lakini bado unakomaa na matamko😂
Tamko la kiofisi ni tamko rasmi mzee baba, toeni official statement kwamba mmemsajiri Messi halafu muone kama management yake na uongozi wa timu yake watawaacha salama
 
Back
Top Bottom