Mgongolwa: Yanga itanufaika kwa kupewa alama 3 na fidia, sakata la Simba kugomea dabi ya Kariakoo

Mgongolwa: Yanga itanufaika kwa kupewa alama 3 na fidia, sakata la Simba kugomea dabi ya Kariakoo

Kufuatia sakata la Simba kugomea mechi ya Watani wa Jadi, Machi 8 Mwanasheria Alex Mgongolwa amesema; "Kikanuni Yanga itaweza kunufaika kwa kupewa alama tatu pamoja na kukabidhiwa fidia baada ya kupeleka madai kutokana na tendo lilofanyika lilikuwa ni kinyume na kisheria"

Soma, Pia
Hawa ndio huwajaza maji mashabiki mazwa zwa kwanini hawaisaidii yanga kushinda kesi za wachezaji wao huko caf!
 
Kumbe huyu Wakili bure kabisa! Yaani kosa lifanywe na bodi ya ligi adhabu apewe simba!
 
Kufuatia sakata la Simba kugomea mechi ya Watani wa Jadi, Machi 8 Mwanasheria Alex Mgongolwa amesema; "Kikanuni Yanga itaweza kunufaika kwa kupewa alama tatu pamoja na kukabidhiwa fidia baada ya kupeleka madai kutokana na tendo lilofanyika lilikuwa ni kinyume na kisheria"

Soma, Pia
Nimemsikia huyu mzee,nadhani anaongozwa na hisia za ushabiki wa nyuma mwiko kuliko kuangalia kweli za kisheria

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Simba bhana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. kabla ya tamko la TFF mlisema hampeleki timu uwanjani sababu kanuni hazijafuatwa, baada ya tamko sababu imebadilika hamjapeleka timu sababu TFF imesema hakuna mechi.

Mshasahau sababu yenu ya mwanzo, mshasahau tamko la kutocheza mechi mlilitoa kabla ya maamuzi ya TFF.

Simba hamjapeleka timu uwanjani kwa sababu mnaogopa kucheza na yanga. Hizi zingine ni blah blah tu
Tatizo wengi huko nyuma mwiko hamna akili,Simba walisema hawatapeleka timu uwanjani wahusika wote wasipochukuliwa hatua.
Inahitaji akili ya kuvukia barabara tu kujua iwapo hatua zingechukuliwa mapema Simba wangepeleka timu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo wengi huko nyuma mwiko hamna akili,Simba walisema hawatapeleka timu uwanjani wahusika wote wasipochukuliwa hatua.
Inahitaji akili ya kuvukia barabara tu kujua iwapo hatua zingechukuliwa mapema Simba wangepeleka timu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mnaogopa kucheza na yanga., izo zingine ni blah blah tu
 
Kimsingi huyu nae amatulisha matango por.... Simba atapomonywaje pointi ikiwa wenye mamla wameihairisha mechi?😃😃😃 Hata WZIRI WQ MICHEZO "KABUDI" alituadanganya kuwa kwenye yale makinikia watanzani tutapata Noah 🚶🚶🤭
 
Simba bhana 😀😀😀😀.. kabla ya tamko la TFF mlisema hampeleki timu uwanjani sababu kanuni hazijafuatwa, baada ya tamko sababu imebadilika hamjapeleka timu sababu TFF imesema hakuna mechi.

Mshasahau sababu yenu ya mwanzo, mshasahau tamko la kutocheza mechi mlilitoa kabla ya maamuzi ya TFF.

Simba hamjapeleka timu uwanjani kwa sababu mnaogopa kucheza na yanga. Hizi zingine ni blah blah tu
1000256339.jpg
 
Hivi huyu mwasheria ameshinda kesi ngapi za Yanga?
Maana bla bla nyingi lakini uwezo wa kisheria hana.
Kukaa kimya kutamsaidia kuliko kupayuka
 
HIVI YANGA MNA UHAKIKA HUYU NI MWANASHERIA KWELI??

MAANA SIO KWA PUMBA HIZI ANAZOROPOKA ,KWA STAILI HII HATA MUENDE WAPI HAMUEZI SHINDA KESI.
 
Wakili ameibisha taaluma yake maksudi. Yanga wanapewaje point 3 ili hali timu zote hazikuwa uwanjani muda wa mchezo? Wanapewaje point 3 ili hali bodi ya ligi imetangaza kuufuta mchezo?
 
Watu wa Yanga wanakwama wapi? Kila siku Yanga wanapiga za uso linapokuja suala la kanuni na Sheria. Mechi ambayo imeahirishwa unapewaje point 3?

Kesho Ali kamwe atakuwa na kesi pale TFF ataenda na mwanasheria kama huyu, kwanini usifungiwe, unakuwa na kesi CAS unaenda na huyu jamaa kwanini usile za uso.
Kanuni inasemaje kuhusu kuhairisha mechi.
 
Back
Top Bottom