kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hawa ndio huwajaza maji mashabiki mazwa zwa kwanini hawaisaidii yanga kushinda kesi za wachezaji wao huko caf!Kufuatia sakata la Simba kugomea mechi ya Watani wa Jadi, Machi 8 Mwanasheria Alex Mgongolwa amesema; "Kikanuni Yanga itaweza kunufaika kwa kupewa alama tatu pamoja na kukabidhiwa fidia baada ya kupeleka madai kutokana na tendo lilofanyika lilikuwa ni kinyume na kisheria"
Soma, Pia