Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kama hakuna diasa humo ndani.....kuomba kura za wana 5imba kwa mama ....Kufuatia sakata la Simba kugomea mechi ya Watani wa Jadi, Machi 8 Mwanasheria Alex Mgongolwa amesema; "Kikanuni Yanga itaweza kunufaika kwa kupewa alama tatu pamoja na kukabidhiwa fidia baada ya kupeleka madai kutokana na tendo lilofanyika lilikuwa ni kinyume na kisheria"
Ninashauri Simba wajiondoe Ligi kuu,ili Yanga,iendelee bila upinzani.Kufuatia sakata la Simba kugomea mechi ya Watani wa Jadi, Machi 8 Mwanasheria Alex Mgongolwa amesema; "Kikanuni Yanga itaweza kunufaika kwa kupewa alama tatu pamoja na kukabidhiwa fidia baada ya kupeleka madai kutokana na tendo lilofanyika lilikuwa ni kinyume na kisheria"
Huyu akiwa wakili wako jiandae tu kwenda lupango.Kufuatia sakata la Simba kugomea mechi ya Watani wa Jadi, Machi 8 Mwanasheria Alex Mgongolwa amesema; "Kikanuni Yanga itaweza kunufaika kwa kupewa alama tatu pamoja na kukabidhiwa fidia baada ya kupeleka madai kutokana na tendo lilofanyika lilikuwa ni kinyume na kisheria"
Soma, Pia
Pale uto wengi ni vihiyo wakiongozwa na raisi wa klabu ambazo hazina majina anashindwa na bibi zubby sakuruHivi huyu mtu kasomea sheria kweli au ni shabiki oya oya tu
Mkuu kweli nimeamini hii timu inaongozwa na vihiyoPale uto wengi ni vihiyo wakiongozwa na raisi wa klabu ambazo hazina majina anashindwa na bibi zubby sakuru
Simba bhana ππππ.. kabla ya tamko la TFF mlisema hampeleki timu uwanjani sababu kanuni hazijafuatwa, baada ya tamko sababu imebadilika hamjapeleka timu sababu TFF imesema hakuna mechi.
Mshasahau sababu yenu ya mwanzo, mshasahau tamko la kutocheza mechi mlilitoa kabla ya maamuzi ya TFF.
Simba hamjapeleka timu uwanjani kwa sababu mnaogopa kucheza na yanga. Hizi zingine ni blah blah tu
Humo hamna wakili aiseeKufuatia sakata la Simba kugomea mechi ya Watani wa Jadi, Machi 8 Mwanasheria Alex Mgongolwa amesema; "Kikanuni Yanga itaweza kunufaika kwa kupewa alama tatu pamoja na kukabidhiwa fidia baada ya kupeleka madai kutokana na tendo lilofanyika lilikuwa ni kinyume na kisheria"
Soma, Pia
Tamko la kiofisi ni tamko rasmi mzee baba, toeni official statement kwamba mmemsajiri Messi halafu muone kama management yake na uongozi wa timu yake watawaacha salamaMkuu acha kuangaika na MATAMKO ya timu
Kwani Simba ikitamka imemsajili Messi ndio itakua kweli?
Una akili timamu na unajua kabisa Bodi imehairishi game lakini bado unakomaa na matamkoπ