FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Upana wa kuzungumziwa kwa shauri lililo mahakamani limetajwa kuwa ni ‘upana’ upi? Na umetumia kipimo gani kujua kwamba sasa tunataka kuvuka kipimo kinachoruhusiwa?Hatukulizungumzia kwa kina kwa maana hatukujua ni shauri la defamation au malpractice
Kama tulianze kulojadili basi ni vema kuacha mara moja ili kuipa mahakama uhuru wa kutoa haki bila ya kushurutishwa na maoni ya watu wa njeUpana wa kuzungumziwa kwa shauri lililo mahakamani limetajwa kuwa ni ‘upana’ upi? Na umetumia kipimo gani kujua kwamba sasa tunataka kuvuka kipimo kinachoruhusiwa?
Wakati tunaanza kujadili, haikuwa vyema kuipa mahakama uhuru wa kutoa haki?Kama tulianze kulojadili basi ni vema kuacha mara moja ili kuipa mahakama uhuru wa kutoa haki bila ya kushurutishwa na maoni ya watu wa nje
Pole sana mw. Mungu ampe huruma zakeMzee alifariki Hospitali ya Fortis India 2013.....kwa mujibu wa aliyeenda nae...operation ilienda poa...ila alijitingisha akiwa na mpira wa chakula so chakula kiliingia kwenye mapafu akakaa kidogo akafariki.
Confusion on top of confusion.....nadhani shida ni wagonjwa wengi hawaelewi hali halisi kama mhudumu anavyoelewa....mbeleni inaleta shida pale anapocommunicate false..and untallying info kwa watu wengine..Or it could be a true cut biopsy, but In lay man language every inversive investment ni operesheni.
Swali ni je, aliandikiwa hiyo thyroxine? Au mgonjwa mwenyewe Ali ignore ? Au haikuwepo? Coz from the scenario alipoenda India alipewa tu thyroxine .