Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

Ndio dawa yao, piga account zao wakianza kupata hasara na kufunga hospitali zao ndio tutaheshimiana
 
Bongo hiyo na hizo ni moja ya hospital zinazoheshimika kweli kweli...yaani tunaishi kwa neema ya mungi tu..
Sasa mtu mwenye vijisenti ana suffer namna hiyo je sie kajamba nani inakuaje kwa mfano?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kama nilivyoeleza awali mgonjwa inaoneka hakuwa tayari kuanza tiba kwa maana ata alivyopewa rufaa kuanza tiba ya mionzi baada ya kufika kule akata apimwe tene ili kuthibitisha ana mionzi.Hivyo hakukuwa na fursa ya kuanza tiba ya thyroxine nadhani mpaka alivyoenda India
Sidhani kama umenielewa, baada ya kuondoa tezi completely, si automatically mtu anapewa dozi ya thyroxine au kuna alternative gland inayozalisha thyroxine mwilini? Hakuoewa hiyo dozi ya thyroxine kiasi nyweli zikanyonyoka na ngozi kusinyaa, kwwanini hakupewa na badala yake akaambiwa hiyo ni kansa na akatibiwe kwa mionzi? Kwanini?

Na kingine, kama sample baada ya kufanyiwa procedure ya kwanza ilionesha hakuna tena malignancy iliyobaki, ni kwanini basi tezi iliyobaki iliondolewa na kumletea thyroxine booster dependency?
 
Mkuu

1. Hakuanzishiwa thyroxine replacement therapy nadhani kwa sababu baada ya kufika Ocean Road alikuwa bado kwenye denial ( alikuwa bado hajakubali kuwa alikuwa na saratani.Focus yake ilikuwa ni kurudiwa kwa vipimo ili kuthibitisha kama ana sratani.

2.Katika tiba ya saratani ya thyroid ni lazima kuondoa tezi zote mbili ata kama ni tezi moja tu imeathirika.Huenda upasuaji wa kwanza walitoa tezi moja ili kujidhiridhisha kuwa ni saratani na sampuli kweli ilionyesha kuwa ana saratani ili upasuaji wa pili nafhani ulikuwa wa kutoa tezi iliyobakia ili kukamilisha tiba ya sarani ya tezi la thyroid.
 
Or it could be a true cut biopsy, but In lay man language every inversive investment ni operesheni.

Swali ni je, aliandikiwa hiyo thyroxine? Au mgonjwa mwenyewe Ali ignore ? Au haikuwepo? Coz from the scenario alipoenda India alipewa tu thyroxine .
Nadhani hakuamini tena daktari yoyote kutoka Tanzania na ndio maana hakupewa ata hiyo thyroxine
 
Aisee,
Ngoja tusubiri na maelezo ya upande wa pili coz hata huko India haya mambo ya makosa ya kimatibabu hua yapo,nalisema hilo kwa experience.
 
Mkuu

1. Hakuanzishiwa thyroxine replacement therapy nadhani kwa sababu baada ya kufika Ocean Road alikuwa bado kwenye denial ( alikuwa bado hajakubali kuwa alikuwa na saratani.Focus yake ilikuwa ni kurudiwa kwa vipimo ili kuthibitisha kama ana sratani.

2.Katika tiba ya saratani ya thyroid ni lazima kuondoa tezi zote mbili ata kama ni tezi moja tu imeathirika.Huenda upasuaji wa kwanza walitoa tezi moja ili kujidhiridhisha kuwa ni saratani na sampuli kweli ilionyesha kuwa ana saratani ili upasuaji wa pili nafhani ulikuwa wa kutoa tezi iliyobakia ili kukamilisha tiba ya sarani ya tezi la thyroid.
Huko Ocean road aliagizwa aende kufanya nini? Kwani alikuwa na kansa au alikuwa ana ukosefu wa Thyroxine ndio ikasababisha nywele kunyonyoka na ngozi kusinyaa?
 
Huko Ocean road aliagizwa aende kufanya nini? Kwani alikuwa na kansa au alikuwa ana ukosefu wa Thyroxine ndio ikasababisha nywele kunyonyoka na ngozi kusinyaa?
Shida watu hawajasoma vizuri na kuelewa ...maana mgonjwa kajieleza clear kabisa.

Japo naona kwa hiyo kesi na mtu wa maabara(pathologist) ahusishwe
 
Shida watu hawajasoma vizuri na kuelewa ...maana mgonjwa kajieleza clear kabisa.

Japo naona kwa hiyo kesi na mtu wa maabara(pathologist) ahusishwe
Yaani walitaka kumpigisha mwenzao mionzi bila sababu huku tatizo la uhaba wa thyroxine likibaki palepale, tena hiyo mionzi ndio mibaya sana
 
Huyu Dr Mavura si ni mfanyakazi wa Muhimbili Sasa ilikuwaje akapewa rufaa aende kwingine? Ina maana Muhimbili haikuwa na uwezo wa ku deal na matibabu ya huyu mgonjwa mpaka wampeleke private?
Hayo ndio madili ya madaktari Bingwa waliosomeshwa bure na serikali kwa kodi za watanzania. Appoinment wana kupanga Private Hosp wanako hudumu.
 
Halafu sasa wanajifanya ni wajanja na wataalam kupita maelezo. Ulaya ukienda hospital manafanya discussion na dr na anakuuliza mapendekezo yako lakini Bongo dr wana viburi na wanajiona ni wataalam mno.
Huku Bongo,wanajifanya ni unique sana,wakati A-Z tunawaiga wazungu,panel inakaa ikitokea kesi kama ya huyu mwamba aliyeshitaki.Nashauri chama cha madaktari,kisiingilie hiyo kesi,jamaa alipwe,tena alitakiwa alipwe zaidi huyo mgonjwa aliyeshtaki,na huyo Dr.Mavura awekwe detention,achunguzwe kusnzia primary school,alipitaje,mitihani yake yote ichunguzwe kuanzia darasa la nne hadi chuo,atolee maelezo alipitajepitaje.Hii isiishie kwake tu,walimu wake waitwe wahojiwe,kuanzia wale wa msingi,hadi chuo alichosoma,hatakama walishastaafu waitwe kwa dharura,wahojiwe kiundani.Leseni yake akibainika alifanya uzembe,anyang'anywe,na walimu waliomfundisha,waondolewe makazini kama bado hawajastaafu.Niishie hapo,ila inatakiwa mnyororo wote uondolewe,iwe fundisho.
 
Back
Top Bottom