Mgonjwa aliyetibiwa kifua kikuu anaweza rudia hali yake ya mwanzo au lah?

Mgonjwa aliyetibiwa kifua kikuu anaweza rudia hali yake ya mwanzo au lah?

Mkuu mm niliugua hii kitu nikatumia dawa kwa kufuata utaratibu wa madakitari na sasa hivi nipo Mzimaaaa. Yaani hata ule mchezo wetu pendwa uleee na umudu tena zaidi ya awali [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Kukimbia na kimbia tu kma zamani mkuu. Kuhusu kucheza football hapo sijui maana sijawahi cheza hata before. ila nmepona ka.bsa hivyo kma upo ktk hali hiyo usiogope kunywa dawa mkuu utapona kabsa
Njema braza jamaa anataka kuingia jwtz ataweza kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom