Mkuu mm niliugua hii kitu nikatumia dawa kwa kufuata utaratibu wa madakitari na sasa hivi nipo Mzimaaaa. Yaani hata ule mchezo wetu pendwa uleee na umudu tena zaidi ya awali [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kukimbia na kimbia tu kma zamani mkuu. Kuhusu kucheza football hapo sijui maana sijawahi cheza hata before. ila nmepona ka.bsa hivyo kma upo ktk hali hiyo usiogope kunywa dawa mkuu utapona kabsa