Tayukwa
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 2,178
- 4,410
- Thread starter
- #21
Ahsante sana yaani hayo maelekezo yako ilinibidi niyasumbukie Muhimbili (MNH) Mungu akuzidishie moyo wa huruma uliojaaliwa nao na mambo yako yazidi kukunyookea kama vile unavyotaka.Kunywa maji sana(Lita 1 au 2) na vyakula vya mboga mboga na samaki kwa wiki hii. Pia jitahidi kupunguza mihangaiko na unahitaji kulala angalau masaa kumi kila siku kwa wiki hii.