Mgonjwa mmoja nchini Kenya afanyiwa upasuaji wa kichwa badala ya "non-invasive treatment for swelling"

Majestic wolf

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2015
Posts
1,248
Reaction score
1,851
Katika hali isiyo ya kawaida na ya kutisha sana mgonjwa mmoja nchini Kenya afanyiwa upasuaji wa kichwa badala ya "non-invasive treatment for swelling".

Uzembe huu wa ajabu uliofanywa na madaktari bingwa nchini humo umepelekea kusimamishwa kazi kwa wafanyakazi wanne wa hospitali hiyo ya "TAIFA".

Uzembe huo uligundulika masaa kadhaa ndani ya chumba cha upasuaji baada ya kumpasua mgonjwa wa watu kisha kukuta hana "blood clot" walioitegemea kuikuta. Katika hali ya kushangaza madaktari wenza wamepinga uamuzi wa kuwasimamisha kazi "wazembe hao" wakitetea maslahi yao.

Ikumbukwe kuwa hospitali hii ndio iliyokumbwa na kashfa ya mtoto mchanga "kutekwa" pia na kashfa chafu ya unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wamama wajawazito.

Uzembe kama huu ulishawahi kutokea miaka mingi huko nyuma Muhimbili na ni ajabu kwa uzembe huu kujitokeza miaka hii ya karibuni katika nchi iliyo na uchumi mkubwa zaidi East Africa
I saw this on the BBC and thought you should see it:

Kenya doctors 'perform brain surgery on wrong patient' - Wrong patient given brain surgery
 
Hakuna hospitali isiyofanya uzembe ulimwengu mzima, lakini, maoni yangu ni hao wagonjwa wasilipishwe chochote na hospitali ichukuwe uwajibikaji wa makosa yao, sio kutetea hao wazembe.
 
SHITHOLE failed Country, SHITHOLE doctors, SHITHOLE hospital

EVERY country in the world has SHITHOLE HOSPITALS THEN. huku marekani huwa wanasahau vifaa vya upasuwaji kwenye miili ya watu, they perform wrong procedures on wrong patients etc. Go figure.
 
Mimi kwa hilo sina hoja MAANA hata uingereza waliwahi fanya hivyo. Walimpasua mgonjwa mguu mwingine wakaacha ule mgonjwa. Baada ya mgonjwa kuzinduka wakamwambia there is GOOD news and bad news. Mgonjwa asked what are those. Drs replied, the good news is that your leg is doing well, but the bad news is we operated the wrong leg. Duuu. So that can happen any where and at any point in time.

Ila iliyoniacha hoi Kenya ni ile ya kubaka wazazi ambao wametoka kujifungua. Sijui ni matakwa ya waganga wa kienyeji au ashiki!!!???
 
This patient should sue...Like seriously?
 
Madaktari wanaowabaka wakina mama waliotoka kujifungua sijaelewa wanafanya hivyo kwa lengo gani??
Wametumwa na waganga?
MAANA mwanamke akitoka kujifungua ni shidaa. Huwezi tamani KITU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…