Kandambilimbili
R I P
- Nov 11, 2008
- 782
- 40
Mgonjwa: naumwa sana
DR: Kazi?
MG: nilikuwa Afisa GTV
DR: Akiba unayo?
MG: Yote ipo DECI
DR: Unakaa wapi?
MG: Mbagala karibu na kambi ya jeshi
DR: Timu yako
MG: Asernal
DR: Subiri kufa.
Yametimia kama yalivyoandikwa na nabii KandambilimbiliMgonjwa: naumwa sana
DR: Kazi?
MG: nilikuwa Afisa GTV
DR: Akiba unayo?
MG: Yote ipo DECI
DR: Unakaa wapi?
MG: Mbagala karibu na kambi ya jeshi
DR: Timu yako
MG: Asernal
DR: Subiri kufa.
He he he , naona mukuu wewe unatakuwa nabii..Itabidi nikutafute ili unambie siku yangu ya kufwa.. 😀
Yametimia kama yalivyoandikwa na nabii Kandambilimbili
Teheee teheee itabidi unionyeshe urithi wako utampangia nani kwanza.
Kandambili hebu fanya ushehe Yahaya wako leo itakuwaje Darajani? Maana wajitia Nabii weye!!
Mgonjwa: naumwa sana
DR: Kazi?
MG: nilikuwa Afisa GTV
DR: Akiba unayo?
MG: Yote ipo DECI
DR: Unakaa wapi?
MG: Mbagala karibu na kambi ya jeshi
DR: Uba mume
MG: Hata nina Boy Friend anaitwa nani vile eeh Liyumba
DR: Timu yako
MG: Asernal
DR: Subiri kufa.