Kula Asubuhi kabla ya kula kitu unapo amka kula punje 2 za kitunguu saumu na kisha kaa baada ya saa 1"kupita waweza kula chakula na wakati wa mchana kula tena punje 2 za kitunguu saumu kabla ya kula kitu na kaa baada ya saa moja kupita waweza kula na wakati wa usiku kula tena punje 2 za kitunguu saumu dumisha kula hivyo kwa muda wa siku 3 au siku 7 kisha njoo unipe Feedback.