Mgonjwa wa kubanwa kifua

Mgonjwa wa kubanwa kifua

Im not sure

Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
36
Reaction score
24
naomba mnisaidie dawa kama kuna uwezekano kifua kinabana.
 

Attachments

  • imagesCANDX5JM.fty.jpg
    imagesCANDX5JM.fty.jpg
    8.3 KB · Views: 331
naomba mnisaidie dawa kama kuna uwezekano kifua kinabana.
Kula Asubuhi kabla ya kula kitu unapo amka kula punje 2 za kitunguu saumu na kisha kaa baada ya saa 1"kupita waweza kula chakula na wakati wa mchana kula tena punje 2 za kitunguu saumu kabla ya kula kitu na kaa baada ya saa moja kupita waweza kula na wakati wa usiku kula tena punje 2 za kitunguu saumu dumisha kula hivyo kwa muda wa siku 3 au siku 7 kisha njoo unipe Feedback.
 
Remedy za kubanwa kifua kama utahitaji ni PM.

attachment.php
 

Attachments

  • IMG-20140423-WA009.jpg
    IMG-20140423-WA009.jpg
    30.7 KB · Views: 307
Back
Top Bottom