Mgonjwa wa kwanza afariki kwa Ebola nchini Kenya

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Alitokea DRC, akaja Uganda the akachukua flight to Nairobi . Alipelekwa kwenye isolation Center at Nairobi hospital ambapo amekufa usiku wa leo.

My take:
Badala ya Marais wote wa East Africa kuungana kuanzisha tafiti za vaccine, or any other control measures, yanaungana na Chivayo kuiba hela za wafa kwa Ebola
 
Alitokea FRC, akaja Uganda the akachukua floght to Nairobi . Alipelekwa kwwnye isolation Center nat Nairobi hospital ambapo amekufa usiku waleo.

My take:
Badala ya Marais wote wa East Africa kuungana kuanzisha tafiti za vaccine, or any other control measures, yanaungana na Chivayo kuiba hela za wafa kwa Ebola
Ok.

R.I.P mwendazake 🌹
 
East africa ina mavi sio viongozi, kwanza ni wabinafsi kama wanawake wa kichaga
 
Ebola ikilipuka Kenya tena Nairobi na hizi mvua hadi huku Tanzania itakuwa hatari sana.
Nami nahisi hivyo

Kuna entrance kubwa ya Watanzania pale Namamba na Silali kwenda Kenya na kurudi Tanzania
 
Sio rahisi Mkuu, angalia kinachofanyika DRC

Hadi mechi za akina TP Mazembe zimehamishwa
Hii itakuwa mbaya whatever the outcome itakuwa na madhara. Maana hata sasa itatumika gharama kubwa kuidhibiti ili isiathiri mashindano.
 
Kabisa yaani, kwanza ugonjwa unaweza kuenea EA yote
 
Ila kaka, kuna wakati nilidhani Ebola ni 'Political disease' kwa ajili ya kuendelea kuinyonya Congo. Pengine fikra zangu hazikua sahihi. Acha muda ulete majibu
 
Nami nahisi hivyo

Kuna entrance kubwa ya Watanzania pale Namamba na Silali kwenda Kenya na kurudi Tanzania
Hiyo iliyotokea Kenya sio breakout ya Ebola....
Inaitwa Ebola on arrival....imetokea hata France na ilipotea

Na ndio maana wale abiria wa Jambo jet wamedakwa wote...na wako ndani kwenye caranteen

Mwingine alikuwa yupo kijijini kilometer kama 200 kutoka Nairobi....akiwa Tena kwenye grocery ya pombe alidakwa juu juu bila kujua Nini kinaendelea..

Movements zote za wale abiria zimekuwa monitored ..kwamba ulipotoka airport ulikwenda wapi ...ulionana na nani ..nk

Ebola mara nyingi inapenda duration of contact... Yaani ukae na muathirika muda mrefu..na ushike jasho au hata damu ya muathirika kwa muda wa kutosha.. na ndio maana wale abiria waliulizwa kama Kuna mtu alikwenda kulala na kuoga sehemu...kukumbatia kwa muda mrefu Wana familia nk
 
Mungu atuepushie mbali haya Maradhi

Nchi yetu yenyewe masikini pamoja na watu wake, hali ikiendelea hivyo Uchumi wetu unaweza kudorola zaidi hasa ule wa Sekta ya biashara na utalii
 
Back
Top Bottom