Ok.Alitokea FRC, akaja Uganda the akachukua floght to Nairobi . Alipelekwa kwwnye isolation Center nat Nairobi hospital ambapo amekufa usiku waleo.
My take:
Badala ya Marais wote wa East Africa kuungana kuanzisha tafiti za vaccine, or any other control measures, yanaungana na Chivayo kuiba hela za wafa kwa Ebola
East africa imekosa viongoz, and that they are so unlucky on thatEast africa ina mavi sio viongozi, kwanza ni wabinafsi kama wanawake wa kichaga
Bado muda lakini, i think hadi muda huo itakuwa Contained.Kama hilo limetokea huko Kenya, sioni dalili ya AFCON kufanyaki upande wa Kenya tena
Ebola ikilipuka Kenya tena Nairobi na hizi mvua hadi huku Tanzania itakuwa hatari sana.Kama hilo limetokea huko Kenya, sioni dalili ya AFCON kufanyaki upande wa Kenya tena
Sio rahisi Mkuu, angalia kinachofanyika DRCBado muda lakini, i think hadi muda huo itakuwa Contained.
Nami nahisi hivyoEbola ikilipuka Kenya tena Nairobi na hizi mvua hadi huku Tanzania itakuwa hatari sana.
Hii itakuwa mbaya whatever the outcome itakuwa na madhara. Maana hata sasa itatumika gharama kubwa kuidhibiti ili isiathiri mashindano.Sio rahisi Mkuu, angalia kinachofanyika DRC
Hadi mechi za akina TP Mazembe zimehamishwa
Kabisa yaani, kwanza ugonjwa unaweza kuenea EA yoteHii itakuwa mbaya whatever the outcome itakuwa na madhara. Maana hata sasa itatumika gharama kubwa kuidhibiti ili isiathiri mashindano.
Ila kaka, kuna wakati nilidhani Ebola ni 'Political disease' kwa ajili ya kuendelea kuinyonya Congo. Pengine fikra zangu hazikua sahihi. Acha muda ulete majibuKabisa yaani, kwanza ugonjwa unaweza kuenea EA yote
Hiyo iliyotokea Kenya sio breakout ya Ebola....Nami nahisi hivyo
Kuna entrance kubwa ya Watanzania pale Namamba na Silali kwenda Kenya na kurudi Tanzania
Mungu atuepushie mbali haya MaradhiHiyo iliyotokea Kenya sio breakout ya Ebola....
Inaitwa Ebola on arrival....imetokea hata France na ilipotea
Na ndio maana wale abiria wa Jambo jet wamedakwa wote...na wako ndani kwenye caranteen
Mwingine alikuwa yupo kijijini kilometer kama 200 kutoka Nairobi....akiwa Tena kwenye grocery ya pombe alidakwa juu juu bila kujua Nini kinaendelea..
Movements zote za wale abiria zimekuwa monitored ..kwamba ulipotoka airport ulikwenda wapi ...ulionana na nani ..nk
Ebola mara nyingi inapenda duration of contact... Yaani ukae na muathirika muda mrefu..na ushike jasho au hata damu ya muathirika kwa muda wa kutosha.. na ndio maana wale abiria waliulizwa kama Kuna mtu alikwenda kulala na kuoga sehemu...kukumbatia kwa muda mrefu Wana familia nk