Wakuu wana jf,
leo nakuja hapa kupata jambo moja tu!,ninae mgonjwa mtu mzima above 40 ana jipu shingon limetimbuliwa toka last year had sasa ndo linakauka na limeleta uvimbe wa tezi. Pia wiki 2 zimeisha alivyokosa hamu ya kula alchek malaria na taifod kakuta zpo kdogo hvo katumia doz imeisha ila bado hana nguvu wala apetite ya kula kabisa,msaada tafadhal
Mkuu Larusai Mux
Pole sana kwa Kuuguza. Naomba nitofautiane kidogo na wenzangu kwa kuangalia chanzo cha matatizo yote yanayomsibu Mgonjwa na baadaye kupendekeza tiba itakayotatua matatizo yote, sio apetite tu, hivyo kumfanya Mgonjwa wako afurahie maisha.
Wakuu, chakula kinachukua sehemu kubwa sana na muhimu katika UHAI wa mwanadamu, kama tu kitaandaliwa na kutumiwa vizuri. Iwapo kitatumiwa vibaya, kitaleta athari kubwa sana Kiafya na hata KIFO.
Ili kuepukana na athari hizi, kila mtu anapaswa kula chakula bora ambacho kinatakiwa kuwa na mbogamboga, viazi, mihogo, magimbi, pamoja na jamii ya maharagwe na matunda (Alkaline Food) kwa wingi kwa kiasi cha 80% na vyakula vya wanga na jamii ya nyama (Acidic Food) kwa kiasi kidogo sana cha 20% ya mlo wote. Tatizo, kutokana na ama Umasikini au Mtindo wa maisha yetu tulionao sasa, tunafanya kinyume chake. Hii inapelekea miili yetu kuwa na asidi zaidi kuliko alkaline (Acidic body) na hivyo kuifanya kinga ya mwili kuwa dhaifu kiasi cha kushambuliwa na magonjwa mbalimbali kirahisi na mara kwa mara.
Lakini pia, 90% ya magonjwa yote husababishwa na kutokufanya kazi vizuri kwa Utumbo Mpana kutokana na msongamano wa uchafu (sumu) mwilini zinazotokana na Vyakula visivokuwa na ubora unaotakiwa, Maji yasiyo salama,
Kuvuta hewa zenye sumu, Mifumo ya maisha hatarishi na Matumizi ya mara kwa mara ya Madawa ya Hospitali. Hali hii hupelekea kutokupata haja kubwa vizuri (Tatizo la kukosa choo - Constipation). Sababu kubwa ya matokeo hayo ni kutokufanya kazi vizuri kwa mfumo mzima wa usagaji wa chakula. Pale ambapo chakula huwa hakisagiki vizuri hususani katika utumbo mpana basi tuelewe kwamba kuna uwezekano mkubwa wa kupata maradhi mengi kama yafuatayo:
- Saratani ya utumbo mkubwa
- Vidonda vya tumbo
- Shinikizo la damu
- Kisukari
- Kufunga na kukosa choo mara kwa mara
- Figo kushindwa kufanya kazi vizuri
- Matatizo ya moyo
- Kukua kwa Tezi ya Prostrate (Prostrate gland)
- Kiharusi
- Ngiri
- Magonjwa ya ngozi
- Unene uliopindukia
- Lehemu (Cholesterol)
- Harufu mbaya mdomoni na hata Kikwapa
Kuepukana na matatizo haya, pamoja na kula chakula bora, ni muhimu tukawa na DESTURI ya kusafisha mfumo wetu wa usagaji chakula mara kwa mara kwa kutumia VIRUTUBISHO (FOOD SUPPLEMENTS)
Sasa Mkuu Larusai Mux, kuhusu matatizo ya mgonjwa wako, ni vyema atumie virutubisho vifuatavyo kwa pamoja: SHAKE OFF PHYTO FIBER, SPLINA LIQUID CHLOROPHYLL, RED YEAST COFFEE NA GINSENG COFFEE. Afya / Uhai wa mtu ni wa thamani sana kuliko kitu chochote. Ni vema wanafamilia kakaa vikao kujadiri na kuchangia gharama za matibabu ya wapendwa wetu. Isiishie tu kwenye sherehe au kusubiri mpaka mambo yanapoharibika (wapendwa wetu wanapotutoka) na kuonyesha ufahari.
1. SHAKE OFF Phyto Fiber
Ni kinywaji kinachotokana na virutubisho asilia (roselle, oats, inulin n.k) kilicho na nguvu ya kusafisha kabisa na kuondoa mgandamano wote wa taka ktk utumbo mpana ikiuacha ukiwa msafi na wenye afya zaidi.
Faida za Shake Off
- Imetengenezwa kwa virutubisho asilia, haina madhala kwa mtumiaji.
- Ni njia ya haraka, salam, uhakika na nafuu ya kuondoa mgandamano wa taka tumboni hivyo kukupa kinga ya saratani ya utumbo mpana(colon cancer) na madhala mengine kiafya.(coprostasis)
- Inakupa matokeo chanya masaa 8 - 12 tu baada ya kutumia.
- Inapunguza uzito uliozidi na mgandamano wa mafuta kwenye mishipa ya damu (cholesterol)
- Inaondoa tatizo la kukosa choo (Constipation) na kusaidia ukuaji wa baktelia wazuri tumboni.
2. Splina Liquid Chlorophyll
Imetengenezwa kutokana na mmea wa "
Mulberry " unaotambulika kama chanzo bora cha "Chlorophyll".
Mlo wa kila siku unatakiwa uwe na
Asidi 20% and
Alkali 80% ili kuuweka mwili katika afya".
- Kutokana na Prof. Ragnar Berg, Mwanalishe wa Marekani.
Ni vyakula vipi vyenye Asidi/Alkali
Vyakula asid:
Nyama, Vyakula vya baharini, nafaka, sukari, mafuta na Vyakula vya makopo
Vyakula vya Alkali:
Mboga za majani (Mbogamboga), Matunda na Vyakula vya Mizizi
Faida za kutumia "Splina Liquid Chlorophyll"
1. Inasaidia kuhuisha seli na kuongeza kinga.
2. Inaondoa harufu mbaya mwilini na sores.
3. Inaondoa tatizo la mmeng'enyo wa chakula.
4. Inasafisha Ini kwa kuondoa sumu kwenye Ini
5. Inaondoa kwa haraka sumu zilizo ingia mwilini
kupitia dawa za kuua wadudu.
6. Inaweka uwiano sahihi wa tindikali na alkali mwilini.
7. Inaongeza chembe hai nyekundu za damu
8. Inaaondoa mikunyanzi ya uzee na kupunguza kasi ya kuzeeka.
9. Inapunguza uzito kwa haraka.
Nani anatakiwa kutumia "Splina Liquid Chlorophyll"
- Watu wenye matatizo ya moyo
- Watu wanao toka jasho sana
- Watu wenye matatizo ya Ini
- Watu wenye matatizo ya upumuaji (Pumu,TB n.k)
- Watu wenye matatizo ya mifupa na viungo
- Watu wenye upungufu wa damu
- Watu wenye ngozi iliyo pauka
- Watu wenye matatizo ya uzito (uzito uliozidi au uzito pungufu)
- Watumiaji wa pombe na sigara
- Watu wasiopenda kula mboga za majani
- Wanaosumbuliwa na tatizo la kukosa choo
- Wanopata maumivu wakati wa hedhi
- Wenye kisukari,vidonda vya tumbo na vidonda sugu.
- Watu wanao ugua mafua mara kwa mara
- Watu wenye matatizo ya koo (kukereketa n.k)
- Watu wanaotoa harufu mbaya mwilini na mdomoni
- Watu walio bize sana na wenye msongo wa mawazo
- Watu wanaopenda kula vyakula vya harakaharaka (chips, burger, pizza n.k)
Kahawa za Ginseng & Red Yeast
Njia Salama ya Kurejesha hali ya ujana na kuondoa Mafuta mabaya kwenye damu"lehemu"(Bad Cholesterol)
Faida za kahawa ya Ginseng
- Inaboresha akili na kumbukumbu.
- Inakuweka katika hali ya kuchangamka.
- Inaongeza umakini na uwezo wa kuona na kusikia
- Inaongeza nguvu mwilini.
- Inaondoa mafuta mabaya (bad cholesterol).
- Inashusha presha ya juu.
- Inaongeza nguvu ya kujamiiana.
Faida za utumiaji wa kahawa ya Red Yeast
- Inashusha kiwango cha mafuta mabaya (bad cholesterol) na "triglycerides".
- Inaongeza kiwango cha mafuta mazuri (good cholesterol.)
- Inasaidia afya ya mfumo mzima wa damu (cardiovascular system).
- Inaupa lishe na virutubisho mzunguko wa damu (circulatory system).
- Inaboresha mmeng'enyo wa chakula.
Naamini maelezo haya yatakuwa msaada kwako na jamii yako inayokuzunguka pamoja na Wanajamvi kwa ujumla.
Kwa taarifa zaidi, piga: 0713 366 473 or 0767 277 223.
KARIBUNI. FEEL LOVE NOW!