Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
mkuu kwani kumpa mkewe ujauzito kunamzuia vipi asiperform?Hata yeye nae ATUPISHE tu kwani wenzake walikuwa wakifanya mazoezi ya mpira yeye kutwa alikuwa anafanya kazi ya kumpa tu UJAUZITO mkewe.