Mgosi: Wachezaji wa Simba Tunastahili Kuuawa

Hata yeye nae ATUPISHE tu kwani wenzake walikuwa wakifanya mazoezi ya mpira yeye kutwa alikuwa anafanya kazi ya kumpa tu UJAUZITO mkewe.
mkuu kwani kumpa mkewe ujauzito kunamzuia vipi asiperform?
 
Magoli yote muhimu na ya ushindi anayamalizia " shimoni / toboni " na akija uwanjani anambwela mbwela tu.
Sio kweli mkuu,kuna clasic player wa europe mmoja,kama sijakosea nahsi alikuwa rooney yeye alisema kuwa kabla ya kucheza match hupendelea kwanza kushiriki tendo walau mara moja na df wake,na alikuwa vizuri na ku2pia,mi nadhani hapo ni swala la uwezo tu.
 
Me nna shabaha hatari... Likipita hili mniite nitungue mmoja baada ya mwingine... Shenzi
 
mpira yetu bwana wachezaji hawastafu kwa manufaa ya Timu mgosi bado anacheza mpira tena Simbana mnataka ubingwa hao ndio wanaziba mianya ya vipaji vingine kuibuka..
 

Mtanzania ukimpa FURSA ya kulala na Demu badala ya " KUKOJOZA " bao moja au mawili tu ya AFYA yeye atataka KUKOJOZA bao 13 au 15 sasa hapo patakuwa na mpira tena Mkuu?
 
Mtanzania ukimpa FURSA ya kulala na Demu badala ya " KUKOJOZA " bao moja au mawili tu ya AFYA yeye atataka KUKOJOZA bao 13 au 15 sasa hapo patakuwa na mpira tena Mkuu?
Hapo sawa,ila tatizo la kuvurunda kwa simba ni matokeo ya vitu vingi sio wachezaji pekee,pamoja na sbb nyingine ila kuu ni timuatimua ya makocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…