Mgote physics anakariri vitu, haelewi

**** mwamba alikuwa anaitwa ally abdalah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yule ndo legend yani vitini vyake simple sanaa ukisoma unaenjoy sema sasa maliza kusoma alafu ukasolve maswali walahi utajua hujuiiii..
Hahahah...nmecheka knm
 
**** mwamba alikuwa anaitwa ally abdalah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yule ndo legend yani vitini vyake simple sanaa ukisoma unaenjoy sema sasa maliza kusoma alafu ukasolve maswali walahi utajua hujuiiii..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ally abdalah ni shida,. mgote maswali magumu na kihombo ni next level kwa physics
 
Aah, ulishawahi hata kunusa kwa hao wawili mudy na mgote?
hakuna utopolo wowote unaye mfikia kiyombo, kwa mgote nimesoma, na muddy , ingawa afadhali muddy yule ally abdalah yupo kibiashara zaid .nilikuwa nasoma kwa kiyombo nasolve kwa mgote kwenye vitabu vyake, hadi leo ninavyo siwezi mbeza nimzuri kwenyew uandishi kuliko wengine, kwa enzi hizo miaka ya 2012
 
Hizi mada hua zinafurahisha kama sio kusikitisha...watu tumesoma Physics kwa walimu ambao hawana majina na wanajua madude sana..Uyo Marehemu Elias nakubali alikua extraordinary kwenye Adv Physics Alikua kutuvunjia pindi kadhaa za electronics nilikubali
 
R.I.P Mwl.Wibonele

Tanzanian Number One Physics Instructor ever happened.

Huyu mwamba hata Baraza la Mitihani walikuwa wanamtumia kwenye kutunga mitihani ya Taifa na kutoa solution zake.

Alikuwa akikufundisha physics masomo yote mengine duniani utayaona ni takataka tu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ally abdalah ni shida,. mgote maswali magumu na kihombo ni next level kwa physics
Necta yetu tulikutana na swali moja lipo kwenye kitini chake la Projectile motion ila nililikimbia maana sio mchezooo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mgote sio wa kusoma mara 100 usome chandy...
 

Affirmative.

R I P Mwl Anthony Kasanda Wibonele.
 
Mambo ya mchikichini hayo pindi la hesabu 300 kwa kipindi! Aisee way back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…