William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Makocha wasiojitambua wanashindwa kabisa kuepuka tabia binafsi za wachezaji na swala la uchaguzi wa timu. Simba Ni timu ya kawaida yenye wachezaji fixed. Sacko Hana mbadala Simba. Labda Kama kumpumzisha. Ajifunze kwa nabi aliweza vipi kukaa na ambundo, Saido na Kamchukua Morsoni.
Mgunda anamchukia Sacko Sana, Banda na Quatara kiasi kwamba kuwapanga mpaka shinikizo kutoka nje yani washabiki na viongozi. Na bahati mbaya Sijui kipofu kila ukimpa nafasi Sacko unaona juhudi kuAnzia kukaba, kushambulia na ata kufunga. Ivi kumuweka nje mechi mbili au tatu mfululizo bila majeraha Ni utopolo.
Ni kitu kibaya Sana.
Quatara anaweza kucheza nafasi ya kanute akiwa na majeraha. Banda na Okra wananafasi sawa kwenye kikosi.
Asisubiri kujivunjia heshima Simba. Kama Boko na Jonasi Mkude wanamuheshimu sana, Awape dk 10 za mwisho Simba ikiwa mbele goli mbili Kama ilivyo kwa watoto wake pendwa Kapama, Akpan na Kyombo.
Lakini ukimlaani aliyebalikiwa utalaanika.