Mgunda achague kimoja team ya Taifa au Simba SC. Failure zake za Simba analeta team ya Taifa. TFF wapo tu?

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Mgunda has created a conflict of interest by working for both Taifa Stars and Simba SC.

1. Favoritism from Simba players: Mgunda selects benched Simba players to play for Taifa Stars just because he is familiar with these players during the open season. He seems to have no knowledge of other informed players.

2. Corruption: Mgunda is creating a corrupt environment by encouraging local players to join Simba for Taifa Stars selection. He did this with Lawi and Kagoma. With time, I believe I will be proven right.

3# Why is he working in 2 teams at the same time we have alot of other managers why him??

Why is TFF not open for this conversation?
 
swahili version.

Mgunda amezua mgongano wa kimaslahi kwa kuzitumikia Taifa Stars na Simba SC.

1. Upendeleo kutoka kwa wachezaji wa Simba: Mgunda anachagua wachezaji wa Simba waliowekwa benchi kuchezea Taifa Stars kwa sababu tu anafahamiana na wachezaji hao wakati wa msimu wa wazi. Anaonekana hana ufahamu wa wachezaji wengine wenye ujuzi.

2. Rushwa: Mgunda anatengeneza mazingira ya kifisadi kwa kuhamasisha wachezaji wazawa wajiunge na Simba kwa ajili ya uteuzi wa Taifa Stars. Alifanya hivi na Lawi na Kagoma. Kwa wakati, naamini nitathibitishwa kuwa sawa.

3# kwa nini anafanya kazi katika timu 2 kwa wakati mmoja. tuna mameneja wengine wengi kwanini yeye?? mbona Tff hawako wazi kwa mazungumzo haya??
 
Rushwa: Mgunda anatengeneza mazingira ya kifisadi kwa kuhamasisha wachezaji wazawa wajiunge na Simba kwa ajili ya uteuzi wa Taifa Stars. Alifanya hivi na Lawi na Kagoma. Kwa wakati, naamini nitathibitishwa kuwa sawa.
Kwani we jamaa huwa unaangalizia mpira wapi? Unataka kunambia lameck lawi na kagoma ni wabovu? Au unavidonda na sio macho?
 
swahili version.

Mgunda amezua mgongano wa kimaslahi kwa kuzitumikia Taifa Stars na Simba SC.

1. Upendeleo kutoka kwa wachezaji wa Simba: Mgunda anachagua wachezaji wa Simba waliowekwa benchi kuchezea Taifa Stars kwa sababu tu anafahamiana na wachezaji hao wakati wa msimu wa wazi. Anaonekana hana ufahamu wa wachezaji wengine wenye ujuzi.

2. Rushwa: Mgunda anatengeneza mazingira ya kifisadi kwa kuhamasisha wachezaji wazawa wajiunge na Simba kwa ajili ya uteuzi wa Taifa Stars. Alifanya hivi na Lawi na Kagoma. Kwa wakati, naamini nitathibitishwa kuwa sawa.

3# kwa nini anafanya kazi katika timu 2 kwa wakati mmoja. tuna mameneja wengine wengi kwanini yeye?? mbona Tff hawako wazi kwa mazungumzo haya??
Mfano mchezaji anaitwa letter/Barua kiwango chake ni kidogo sana kuchezea timu ya Taifa.
Mgunda na Matola huwa na wachezaji wao wa ten percent hilo linafahamika wazi,Kuna mchezaji mmoja alipita Simba na aliwahi kuishi maeneo ya Tandale ni mshkaji wangu wa karibu sana aliwahi kunipa habari hizo.
 
Kwani Mgunda ni kocha mkuu wa Taifa Stars ?
 
Umemeza dawa zako leo?
 
yupo kama assistant manager. ni chawa wa simba tu hapo taifa stars.
sababu ni mtumishi wa simba. anafanya nini taifa??? we don't know.
Umeshasema ni kocha msaidizi halafu unauliza anafanya nini taifa stars?
 
Mfano mchezaji anaitwa letter/Barua kiwango chake ni kidogo sana kuchezea timu ya Taifa.
Mgunda na Matola huwa na wachezaji wao wa ten percent hilo linafahamika wazi,Kuna mchezaji mmoja alipita Simba na aliwahi kuishi maeneo ya Tandale ni mshkaji wangu wa karibu sana aliwahi kunipa habari hizo.
a very corrupt manager.
well known within simba. it's a reason they don't wanna give him the team. kila kitu kwake ni 10%. awezi pewa team ya simba milele.
 
Uzi wako umejaa utoto sana.
small talks and small mind. I don't have time for this.

I discuss logic and facts. you don't have any?? then do your childish stuffs elsewhere. 🚮

get out of here.
 
kila kitabu na zama zake
hukumbuki enzi za Maximo na Yanga?

btw mbona head coach anawabeba sana ami zake
unajua kama Hilika TEKA LA NCHI ameitwa national team?
 
a very corrupt manager.
well known within simba. it's a reason they don't wanna give him the team. kila kitu kwake ni 10%. awezi pewa team ya simba milele.
Hawezi pewa simba kwa sababu ya ujinga wetu sie watz kwa kupenda kuleta wageni. Mbona timu ina perform akiwepo yeye.
Sie ni roho mbaya tuu. Tupo tayari kumlipa mgeni mil 40 lakini haperform. Mzawa anapaform twataka kumkopa
 
swahili version.

Mgunda amezua mgongano wa kimaslahi kwa kuzitumikia Taifa Stars na Simba SC.

1. Upendeleo kutoka kwa wachezaji wa Simba: Mgunda anachagua wachezaji wa Simba waliowekwa benchi kuchezea Taifa Stars kwa sababu tu anafahamiana na wachezaji hao wakati wa msimu wa wazi. Anaonekana hana ufahamu wa wachezaji wengine wenye ujuzi.

2. Rushwa: Mgunda anatengeneza mazingira ya kifisadi kwa kuhamasisha wachezaji wazawa wajiunge na Simba kwa ajili ya uteuzi wa Taifa Stars. Alifanya hivi na Lawi na Kagoma. Kwa wakati, naamini nitathibitishwa kuwa sawa.

3# kwa nini anafanya kazi katika timu 2 kwa wakati mmoja. tuna mameneja wengine wengi kwanini yeye?? mbona Tff hawako wazi kwa mazungumzo haya??
Kati ya tff na Mgunda ni upande gani uliofuata mwingine?
Kati ya Mgunda na tff ni upande upi uliofuata masharti ya mwingine?
Kati ya Simba na tff ni akina nani wanamlipa Mgunda fedha nzuri?
Kati yako na tff ni nani aliyemfuata Mgunda?
 
small talks and small mind. I don't have time for this.

I discuss logic and facts. you don't have any?? then do your childish stuffs elsewhere. 🚮

get out of here.
Kwa hiki kingereza chako cha ugokoni unajiona akili kubwa? Umeleta uzi wa kijinga, vimba pasuka , weka kingereza chote unachojua bado uzi wako wako ni wa kitoto na chuki tu kwa Mgunda na Club anayofundisha.
 
Back
Top Bottom