Mgunda achague kimoja team ya Taifa au Simba SC. Failure zake za Simba analeta team ya Taifa. TFF wapo tu?

Mgunda achague kimoja team ya Taifa au Simba SC. Failure zake za Simba analeta team ya Taifa. TFF wapo tu?

Kwa hiki kingereza chako cha ugokoni unajiona akili kubwa? Umeleta uzi wa kijinga, vimba pasuka , weka kingereza chote unachojua bado uzi wako wako ni wa kitoto na chuki tu kwa Mgunda na Club anayofundisha.
talk ideas or leave the page. simple
 
Kati ya tff na Mgunda ni upande gani uliofuata mwingine?
Kati ya Mgunda na tff ni upande upi uliofuata masharti ya mwingine?
Kati ya Simba na tff ni akina nani wanamlipa Mgunda fedha nzuri?
Kati yako na tff ni nani aliyemfuata Mgunda?
tff ni wezi tu. corrupt
 
Hawezi pewa simba kwa sababu ya ujinga wetu sie watz kwa kupenda kuleta wageni. Mbona timu ina perform akiwepo yeye.
Sie ni roho mbaya tuu. Tupo tayari kumlipa mgeni mil 40 lakini haperform. Mzawa anapaform twataka kumkopa
Ni corrupt sana. sio simba tu, team zipo nyingi sana. huyu ni kocha mzuri ila corrupt sana.
 
Mfano mchezaji anaitwa letter/Barua kiwango chake ni kidogo sana kuchezea timu ya Taifa.
Mgunda na Matola huwa na wachezaji wao wa ten percent hilo linafahamika wazi,Kuna mchezaji mmoja alipita Simba na aliwahi kuishi maeneo ya Tandale ni mshkaji wangu wa karibu sana aliwahi kunipa habari hizo.
Ukweli mtupu.
 
Back
Top Bottom