Mgunda amenishangaza leo Mapinduzi Cup

Mgunda amenishangaza leo Mapinduzi Cup

Akihojiwa na mtangazaji wa Azam TV baada ya kupoteza mechi dhidi ya Mlandege 0-1 amesema bado ana matumaini ya kushinda mechi 2 zilizobaki katika kundi lao C na kutinga hatua ya nusu fainali kutetea ubingwa wao.

Tangu ratiba inatolewa kundi C lilikuwa na timu 3 tu yaani;

1. Simba
2. Mlandege
3. KVZ

Mechi ya kwanza kwenye kundi hili ilikuwa baina ya Mlandege na KVZ iliyomalizika kwa sare ya 1-1 na Leo mechi ya pili Simba vs Mlandege.

Kwa maana nyingine Kundi limebakiza mechi moja tu Simba vs KVZ ambayo hata Simba akishinda anapata point 3 ambazo hazitamsaidia kuongoza kundi maana tayari Mlandege ana pwenti 4 na anahtajika mshindi mmoja tu.

Labda uelewa wangu kuhusu kanuni za mashindano haya siyo mzuri kiasi kwamba Simba kweli bado ana mechi 2?
Kocha kilaza, mzee wa pensi kitambi.
 
Papaa Mgunda akiomba radhi kuhusina na alichosema kubakiza mechi 2 kwenye mashindano ya Mapinduzi!

Mashindano ni ya ajabu kwa hiyo haishangazi kosa hilo kufanyika. Wewe mashindano, group lina timu 3? Mashindano hayana robo fainali?
 
Timu ya simba haijielewi hata kidogo! Yaani wana mechi 2 tu za kucheza ili kuingia nusu fainali. Na wakati huo huo walitambua fika wapinzani wao wameshacheza mechi na kutoa sare!

Badala ya kuingiza kikosi chake imara ili kupata ushindi, halafu mechi ya pili ndiyo wangefanya mabadiliko! (Maana hawana kikosi kipana! No Chama, no goal! No assist) Wenyewe wakachagua kuanza na kikosi dhaifu. Mwisho wa siku, wameishia tu kufedheheka.
Ukiona hivyo haikuwa kipaombele chao,
 
Mashindano ni ya ajabu kwa hiyo haishangazi kosa hilo kufanyika. Wewe mashindano, group lina timu 3? Mashindano hayana robo fainali?
Wamekopi kutoka kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (kwa sasa umaarufu KAGAME).
 
Back
Top Bottom