Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Kwa mwenendo huu wa klabu ni wazi kwamba Simba itaenda kuaibisha taifa huko nje. Leo hii Simba inashindwa kabisa kuifunga Yanga, wachezaji wazembe, hawajitumi, tunategemea nini?
Kwanini asipatikane kocha makini kama Nabi a.k.a Prof. Nabi, Kocha makini anayejua anachokifanya. Simba hata kuifunga De Agosto ni vile tu imebahatika kupangiwa na klabu mbovu mbovu lakini kama ingepangiwa na Al Hilal nina uhakika aibu ingekuwa kubwa mno!
Tunashukuru angalau wenzetu wamepambana kiume kuzuia aibu, ambayo kama ingekuwa Simba ingekufa hata 7-0.
Siku zote Simba kuingia Klabu Bingwa ni kutokana na bahati tu kupangiwa na vilabu dhaifu. Uongozi wa Simba uchukue hatua mapema. Mgunda aondoke!