Mgunda apewe ukocha wa kudumu pale Taifa Stars

Mgunda apewe ukocha wa kudumu pale Taifa Stars

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Japo kolo management walimdharau mgunda kumpeleka kolo queens ila kocha mgunda ni bonge la kocha Kwa sababu zifuatazo

1. Boli litembee philosophy, hii slogan ya mgunda inaifanya timu ijiamini Kwa kukokota mpira mbele badala kupiga back pass nyingi

2 ni mzawa hivyo anawajua wachezaji wengi in deep tofauti na kuwa na hawa wageni

Bila shaka mgunda anaweza saidia taifa stars

1706344936571.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hiv Mgunda ana mafanikio gani kwenye hii nch hadi achukue team ya taifa, au ndio kumjaribu?
Mpeni either simba au Yanga tuone kama atabeba ubingwa japo misimu miwili consecutive kisha tumpe team ya taifa,

Stars bora tumpe Nabi au Gamond
 
Nabi kumpata ndo kipengele

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
apewe mapema ili aunde kikosi kinzuri mimi naamini sana jamaa anauwezo mkubwa ila sisi tunatabia ya kuzibiana hasa tunapoona mwenzetu atafika mbali na anahitaji support yetu. mfano tu simba ilipokuwa chini ya mgunda ilikuwa na performance nzuri ila sasa tukamtoa kisa ni mzawa kilichofuata kila mtu anajua..
 
Tuongeze Academy Kutafuta Wachezaji Si Wazee Wale Tunang'ang'ania Na Kuwalaumu Kocha Bure.

Naunga Mkono Hoja Ya Kuwa Na Kocha Mzawa.
 
Mimi nafikiri eng hersi apewe uongozi hapo, tatizo sidhani kama ni kocha, uongozi wa TFF ni uozo mtupu.

Eng; hersi anapaswa kushika uongozi hapo ni mtu sahihi sana, tatizo la timu ya taifa inaanzia kwa viongozi.
 
Hata huyu akipewa mambo ni yale yale tifuatifua kama taasisi yenye upigaji mwingi
Mkuu watu sahihi na viongozi wenye misimamo wazee wa 10% hawawataki.

Kama simba ingeendelea kuwa na yule mwana mama barbra aiseee ulikuwa ni moto wa kuotea mbali, yule katoka kwa ajili ya kusimamia misimamo yake.

Mimi naamini Eng: hersi ni kiongozi mzuri, vijana wapo kibao lakini kwenye academy ukienda unaona mzazi anashuka kwenye range mtoto anapewa nafasi wakati top cream za ajabu zinaachwa mtaani.
Hata mgunda akiwa kocha kwa hii nchi watu waliojaa njaa kutaka kuwahi kwenda chooni bado sana
 
Ishu ya barbra hata kuwa watu pale tifuatifua na utopoloni pia walikuwa hawamtak alikuw straight sana kwenye masuala ya soka na sheria
Hersi muhuni ambae amejificha kwenye usmart wa kauli zake lakini pia ni wale wale ulidhani uto hawapigwi na hersi?
 
Unafikiri ni kiongozi gani anaweza kufanya transformation pale TFF?

si kwamba hersi apigi, anpiga lakini anasimamia kazi yake.
Kwa kweli tungepata kama barbra tungekuwa sehemu salama, wazee wengi pale TFF hata elimu hawana, alikuwa anawapiga spana za kisheria na hawana hoja zaidi ya uchawi.
 
Ishu sio kiongozi nadhan tuanze na kufumua wizara husika isishikwe na wanasiasa na wanasiasa ndio chanzo cha soka letu kwenda hovyo
Unakumbuka miaka flani 2 hapo nyuma barbra alikosa nafasi ya kwnza ya uwakilishi huko CAF kisa tifuatifua baadae ndo akapata
Mi nadhani uchaguzi ujao agombee apate uraisi wa tff tuone maana ana vision sana yule mwana mama hapendi makando kando
tuachane na hizi ishu za soka letu kivyetu vyetu
 
Back
Top Bottom