Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,548
- 9,740
Mtu hana mafanikio yeyote ya kuonesha zaidi ya propaganda za media, et ndo tumpe team ya taifa,We kila ulichofanikiwa kukifanya ulisha kifanya kabla?
Si bora tuvunje benk tumpe team Gamond
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu hana mafanikio yeyote ya kuonesha zaidi ya propaganda za media, et ndo tumpe team ya taifa,We kila ulichofanikiwa kukifanya ulisha kifanya kabla?
At least Wana ukaribu na wachezajiBado hawana mbinu za kitaalam kutuvusha
Sio wote mkuuWachezaji wa timu ya taifa watoke Zanzibar kwenye shule za mpira…Bara ni kichwa cha mwenda wazimu.
Wapumbavu wameenda robo fainali..Congo ni wapumbavu sana.
Kama utani ... Egypt bai bai[emoji1]Wapumbavu wameenda robo fainali..
Huyo Gamond alifikaje hapo alipo?Mtu hana mafanikio yeyote ya kuonesha zaidi ya propaganda za media, et ndo tumpe team ya taifa,
Si bora tuvunje benk tumpe team Gamond
Team ya taifa sio majaribio, apewe klab moja afanye vizuri aje team ya taifa,Huyo Gamond alifikaje hapo alipo?
Mafanikio ya timu ya taifa yanapimwa vp, na je unaamini Gamond akipewa hii timu atapata mafanikio yapiTeam ya taifa sio majaribio, apewe klab moja afanye vizuri aje team ya taifa,
Ile ni roho ya WaTz sio majaribio
Wew hunielewi,Mafanikio ya timu ya taifa yanapimwa vp, na je unaamini Gamond akipewa hii timu atapata mafanikio yapi