Mgunda apewe ukocha wa kudumu pale Taifa Stars

Mgunda apewe ukocha wa kudumu pale Taifa Stars

Ni kupoteza muda bure tu, mpira wa Tanzania unaharibiwa zaidi na siasa za ccm.
 
Team ya taifa sio majaribio, apewe klab moja afanye vizuri aje team ya taifa,

Ile ni roho ya WaTz sio majaribio
Mafanikio ya timu ya taifa yanapimwa vp, na je unaamini Gamond akipewa hii timu atapata mafanikio yapi
 
Mafanikio ya timu ya taifa yanapimwa vp, na je unaamini Gamond akipewa hii timu atapata mafanikio yapi
Wew hunielewi,
Mgunda bado hajaprove kuwa ni kocha bora, kila team anazopewa hazifangi vema, afanye wonders na team moja ndio tumpe team ya taifa, kuliko kukimbilia kumpa team bila uhakika wa uwezo wake
 
Back
Top Bottom