Yaani apewe Fursa zote kama wanavyopewa makocha wa kigeni.Kweli kabisa, na kama mshahara apewe kama hao wa nje,itampa hamasa,anaweza ame prove!
Yaah mkuu kidogo timu ilibadilikaKweli kabisa, na kama mshahara apewe kama hao wa nje,itampa hamasa,anaweza ame prove!
Hawa congo wangetusumbua sana ...Kama angekuwa ni yule kocha mzungu jeuri....ila Kwa mgunda....walidundaNaungana na wewe ...nimeona AFCON timu zilizo kuwa chini ya Makocha Wazawa wamefanya vzr
Nabi kumpata ndo kipengeleHiv Mgunda ana mafanikio gani kwenye hii nch hadi achukue team ya taifa, au ndio kumjaribu?
Mpeni either simba au Yanga tuone kama atabeba ubingwa japo misimu miwili consecutive kisha tumpe team ya taifa,
Stars bora tumpe Nabi au Gamond
Kwa hili jambo gumu sana kwa tifuatifua ya mr ndambiYaani apewe Fursa zote kama wanavyopewa makocha wa kigeni.
Si kudunda tu walichemka kbs..walikosa ubunifu wakabaki kucheza tunavyotakaHawa congo wangetusumbua sana ...Kama angekuwa ni yule kocha mzungu jeuri....ila Kwa mgunda....walidunda
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hata huyu akipewa mambo ni yale yale tifuatifua kama taasisi yenye upigaji mwingiMimi nafikiri eng hersi apewe uongozi hapo, tatizo sidhani kama ni kocha, uongozi wa TFF ni uozo mtupu.
Eng; hersi anapaswa kushika uongozi hapo ni mtu sahihi sana, tatizo la timu ya taifa inaanzia kwa viongozi.
Mkuu watu sahihi na viongozi wenye misimamo wazee wa 10% hawawataki.Hata huyu akipewa mambo ni yale yale tifuatifua kama taasisi yenye upigaji mwingi
Ishu ya barbra hata kuwa watu pale tifuatifua na utopoloni pia walikuwa hawamtak alikuw straight sana kwenye masuala ya soka na sheriaMkuu watu sahihi na viongozi wenye misimamo wazee wa 10% hawawataki.
Kama simba ingeendelea kuwa na yule mwana mama barbra aiseee ulikuwa ni moto wa kuotea mbali, yule katoka kwa ajili ya kusimamia misimamo yake.
Mimi naamini Eng: hersi ni kiongozi mzuri, vijana wapo kibao lakini kwenye academy ukienda unaona mzazi anashuka kwenye range mtoto anapewa nafasi wakati top cream za ajabu zinaachwa mtaani.
Hata mgunda akiwa kocha kwa hii nchi watu waliojaa njaa kutaka kuwahi kwenda chooni bado sana
Unafikiri ni kiongozi gani anaweza kufanya transformation pale TFF?Ishu ya barbra hata kuwa watu pale tifuatifua na utopoloni pia walikuwa hawamtak alikuw straight sana kwenye masuala ya soka na sheria
Hersi muhuni ambae amejificha kwenye usmart wa kauli zake lakini pia ni wale wale ulidhani uto hawapigwi na hersi?
Ishu sio kiongozi nadhan tuanze na kufumua wizara husika isishikwe na wanasiasa na wanasiasa ndio chanzo cha soka letu kwenda hovyoUnafikiri ni kiongozi gani anaweza kufanya transformation pale TFF?
si kwamba hersi apigi, anpiga lakini anasimamia kazi yake.
Kwa kweli tungepata kama barbra tungekuwa sehemu salama, wazee wengi pale TFF hata elimu hawana, alikuwa anawapiga spana za kisheria na hawana hoja zaidi ya uchawi.