Labda mgunda alifeliSasa kama huyo mgunda hana cheti na huyu seba anakuwaje na cheti wakati hiyo leseni A walikuwa darasa moja🤣🤣🤣🤣🤣
Naunga mkono hoja,tatzo pale Msimbaz wazee wana kinyongo hakuna baraka za wazee pale...ukitka uishi vizuri nchi hii heshimu wazee wa Dar mambo yako yatanyooka sasa Barbra yy anawaona hawana elimu tatzo linaanzia hapoTimu apewe Mzee Kilomoni
Magumashi matupuHapa sasa magumashi ya tff yataonekana tena. Sie hatuko serious kabisaaa
HahahahaaaaSimba wanatia hadi huruma kmmae..wamekuwa timu ya ungaunga mwana[emoji23][emoji23][emoji23]hawana tofauti na Faru jeuri siku hizi
Afu hakwenda ku-supMgunda alipata supplementary
Nao simba wajinga barbara ameonyesha udhaifu mkubwa sana. Kama ceo unatakiwa ufanya background check kuhakikisha huyo mtu anakidhi vigezo. Sasa wanaonekana club ya kienyeji kweli kweli.Magumashi matupu
Kwa hiyo mgunda alifeli alafu nkoma kafaulu🤣🤣🤣🤣 dah all in all ceo ameonyesha udhaifu kinomaa. Kwa hili nchi za wenzetu unaliwa kichwa. She has tarnished image ya simba scLabda mgunda alifeli
🤣🤣🤣 Yawezekana. Ila kwani tff hawana orodhanya makocha wa leseni A? Sii walisema bungeni kuwa wapo makocha 19 wenye leseni A.Mgunda alipata supplementary
Nae sidhani kama ana chetiWampe timu permanently Sebastian Nkoma ni kocha mzuri.
Anafundisha soka la kisasa lenye intensity ya juu na high pressing.
JamanHii Simba imekuwa kama ni chanel ya vichekesho kwakweli daaaaah[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukitaka Simba wakuue, waambie Barbra ana udhaidu wowoteNao simba wajinga barbara ameonyesha udhaifu mkubwa sana. Kama ceo unatakiwa ufanya background check kuhakikisha huyo mtu anakidhi vigezo. Sasa wanaonekana club ya kienyeji kweli kweli.
Na nitashangaa kama nkoma atakubaliwa ukizingatia hawa wawili walikuwa darasa hilo hilo na vyeti vyao mpaka leo havijatoka