Mgunda atakaa jukwaani, kutoiongoza Simba Malawi

Mgunda atakaa jukwaani, kutoiongoza Simba Malawi

Magumashi matupu
Nao simba wajinga barbara ameonyesha udhaifu mkubwa sana. Kama ceo unatakiwa ufanya background check kuhakikisha huyo mtu anakidhi vigezo. Sasa wanaonekana club ya kienyeji kweli kweli.
Na nitashangaa kama nkoma atakubaliwa ukizingatia hawa wawili walikuwa darasa hilo hilo na vyeti vyao mpaka leo havijatoka
 
Mgunda alipata supplementary
🤣🤣🤣 Yawezekana. Ila kwani tff hawana orodhanya makocha wa leseni A? Sii walisema bungeni kuwa wapo makocha 19 wenye leseni A.
Simba walipaswa kuwaiza tff and then ndio wachague.

Sasa hapa kuna swali la ziada kama hana cheti ilikuwaje anafundisha ligi kuu huku kigezo cha kiwa kocha mkuu ligi kuu ni kuwa na leseni A.??
 
Hii ndio timu hua inajifananisha na kina Al Ahly, Wydad Zamalek na Mamelody sundowns?
1662673858158.jpg
 
Nao simba wajinga barbara ameonyesha udhaifu mkubwa sana. Kama ceo unatakiwa ufanya background check kuhakikisha huyo mtu anakidhi vigezo. Sasa wanaonekana club ya kienyeji kweli kweli.
Na nitashangaa kama nkoma atakubaliwa ukizingatia hawa wawili walikuwa darasa hilo hilo na vyeti vyao mpaka leo havijatoka
Ukitaka Simba wakuue, waambie Barbra ana udhaidu wowote
 
Back
Top Bottom