Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama huyo Mgunda hana cheti na huyu seba anakuwaje na cheti wakati hiyo leseni A walikuwa darasa moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inaonekana timu zetu zinakurupuka kopita kiasi. Kumbe Mgunda hana vyeti husika......View attachment 2350637
OkWampe timu permanently Sebastian Nkoma ni kocha mzuri.
Anafundisha soka la kisasa lenye intensity ya juu na high pressing.
Wanaaminika bhanaWatu wa Tanga hawaaminiki kabisa daah....... Mikia wamevurugwa kabisa
Ndo hapo. Barbra FCSasa kama huyo mgunda hana cheti na huyu seba anakuwaje na cheti wakati hiyo leseni A walikuwa darasa moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema TFF ndio inaendesha kienyeji maana wao ndio wanatakiwa kuwa na orodha ya wahitimu wote wa kozi za ukochaSimba inaendeshwa kienyeji sana siku hizi
Hapa sasa magumashi ya tff yataonekana tena. Sie hatuko serious kabisaaaNdo hapo. Barbra FC
Noma kweli ! hivi kumbe alichukuliwa kama kocha au kama mganga ?Inaonekana timu zetu zinakurupuka kopita kiasi. Kumbe Mgunda hana vyeti husika......View attachment 2350637
Simba wanatia hadi huruma..wamekuwa timu ya ungaunga mwana[emoji23][emoji23][emoji23]hawana tofauti na Faru Jeuri siku hizi.Inaonekana timu zetu zinakurupuka kupita kiasi. Kumbe Mgunda hana vyeti husika......View attachment 2350637
Mgunda alipata supplementarySasa kama huyo mgunda hana cheti na huyu seba anakuwaje na cheti wakati hiyo leseni A walikuwa darasa moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi kwanza kuna uongozi kweli hapo Simba ?Simba inaendeshwa kienyeji sana siku hizi
Timu apewe Mzee KilomoniSimba wanatia hadi huruma kmmae..wamekuwa timu ya ungaunga mwana[emoji23][emoji23][emoji23]hawana tofauti na Faru jeuri siku hizi
Kanjibai kashapiga hela anaanza uswahili.Hivi kwanza kuna uongozi kweli hapo Simba ?