Mgunda atalazimika kuwatumia Nelson Okwa na Kapama

Mgunda atalazimika kuwatumia Nelson Okwa na Kapama

Natamani Simba amfunge Azam. Azam alijifanya anamkamia Yanga ngoja leo afungwe aporomoke mpaka nafasi ya 10
Sio Azam nayoijua wala hatukukamia ball ilipigwa tu
 
Simba ikicheza Tanzania nzima mpka caf wanakuwa na furaha[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kwakweli Kuna Matatizo makubwa kwenye hii nafasi 6, 8.

Japo viungo wengine hujawataja.

Akpan.
Mkude.
Nyoni.
 
Kwakweli Kuna Matatizo makubwa kwenye hii nafasi 6, 8.

Japo viungo wengine hujawataja.

Akpan.
Mkude.
Nyoni.
Ni kweli sijawataja kwa kuwa nikitazama tempo ya game ya Azam naona Nyoni na Mkude hawataendana nayo. Tuliwaona kwenye game ya Yanga. Akpan sidhani kama ataweza kuingia moja kwa moja kikosi cha kwanza.
 
Mgunda gan???
JamiiForums-77884268_180x235.jpg
 
Back
Top Bottom