Mgunda, Moroco na Captain Samatta katika picha ya pamoja. Unahisi wanazungumza nini?

Siasa imeharibu mpira wa Tanzania kiasi kwamba wengine hata hatuna hamu na hiyo timu wanayoita ya taifa na ni kweli kabisa tunatamani ifungwe tu, tutashabikia mataifa mengine.

The heavily politicized Tanzanian football has made it difficult for some people to cheer up the national team because in an unlikely situation that it wins then the hated ruling party will start to claim undue credit for the said victory.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…