Mgunda mpaka sasa anakuwa Kocha Mkuu wa timu mbili kwa wakati mmoja

Kocha ni muajiriwa kama walivyo wachezaji. Hakuna fair competition kwenye kazi ya ukocha. Leo hii Hitimana asingekuwa KMC maana alishawahi kuwa kocha wa Simba.
 
Kocha ni muajiriwa kama walivyo wachezaji. Hakuna fair competition kwenye kazi ya ukocha. Leo hii Hitimana asingekuwa KMC maana alishawahi kuwa kocha wa Simba.
Kinachoongelewa hapa si Mgunda kuajiriwa na Simba baada ya kuacha kazi Coast, kinachoongelewa na Mgunda kuwa kocha wa Simba huku bado ni kocha Coast Kwa maelezo kwamba Coast imewaazima Simba kama barua ya Barbara inavyoeleza.
 
Yaan haya majamaa yameamua kujivua nguo yenyewe. Yalilazimidha mjadala mechi ya Yanga vs azam haijapita 24 hrs limeibuka kubwa kuliko. 😁
 
Kweli kabisa kwa hiyo Coast na Simba wakikutana inakuwa si mechi bali kikao cha familia na kwenye familia zetu mkubwa amuheshimu mtoto.

Mkuu kwan ulisikia wapi kuwa atakaa mpaka hiyo siku wakikutana coast na simba. Hiyo ni dharura tu na inawezekana hata wiki mbili zisifike simba wakapata kocha na mgunda atarudi kwao coast kama kawaida.

Kwa mfano leo nabi akachukuliwa na simba na simba akaja kukutana na yanga kutuakuwa na shida hapo si kocha tu atakuwa amehama timu bas ni sawa na hapo tu mgunda mkataba wake na simba ukiisha atarud kwao coast
 
Kipindi tunawaazima wachezaji ulikuwa wapi
 
Mbona GSM alizamini ligi kuu na Yanga
 
Kama kanuni haziruhusu kocha asiena mkatapa kufundisha, nazishauri timu zilizofungwa au ku draw na Coastal Union zikate rufaa.
 
Kubwa labda msimbazi,mnashindwa kumsajili hata sopu mbona navyosikia mna pesa za m bet,pesa za sport pesa,pesa za moo bado tena pesa za huko njee mnashindwa kumsajili mchezaj wa million 400 pyuuuuuu kajambeni huko
Nenda kaandamane
 
Kinachoongelewa hapa si Mgunda kuajiriwa na Simba baada ya kuacha kazi Coast, kinachoongelewa na Mgunda kuwa kocha wa Simba huku bado ni kocha Coast Kwa maelezo kwamba Coast imewaazima Simba kama barua ya Barbara inavyoeleza.
Barua ipi imesema kuwa Coast imemuazimisha Mgunda? Barua imeshukuru kwa kukubali Mgunda aende Simba na sio kwa kumuazima. Achana na stori za vijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…